Inakuaje kama Mwanachuo akilipotezea somo alilo-sap?

Jidanganyeni tuu, chuoni wewe fuata maelekezo ya anayekufundisha ukileta ujuaji kama ule sijui nimekata mapindi kwa MUDDY,MTIGA,MKANDA n.k.Utajikuta unakosa hata sifa za kufanya hizo sups zenyewe,Hakikisha hubakishi kipolo bhana lazima ulipe goli uliloachia/fungwa kwanza ndiyo ulilie ushindi.
 
Haki Elimu!

Kunakaubishi hapa kemezuka kati yangu na wahitimu wenzangu wa Form 6.

Ni hivi; Huwa inakuaje kama Mwanachuo akaamua kulipotezea somo aliloSupp.

Yaani anakuwa na supplementary lakini haendi kusapua wala aki Carry haangaiki nalo.
Hapa watu mtadanganyana sana-cha muhimu ukifika chuo kitu cha kwanza ni kusoma academic regulations ambazo mara zote zinakuwa kwenye prospectus (tafuta the most current one) kuna vyuo wanazitoa kama booklets. Utashangaa walimu wengine hawazijui na ndio maana upate reliable source.
Pili kila degree ina vigezo vyake-kwa core course hakuna dawa unatakiwa ufaulu, ukiipotezea nayo itakupoteza. Kwa electives ndio kunaweza kuwa na tofauti,kwani kwa vyuo vyote lazima uwe na minimum defined number ya credit hours ili uweze kugraduate. Kama somo la ku supp lilikuwa extra unaweza ukalipotezea na usidhurike vinginevyo kama ndio lilikuwa linakufikisha minimum required ukilipotezea nawe wapotea.
La msingi soma academic regualtions.
 
Back
Top Bottom