Inakuaje hii, msaada wenu unahitajika hapa wakuu

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,170
2,000
Inakuaje hii, demu apokei simu wala kujibu text baada ya kumtia sound Kuna demu flan nimemuelewa kinyama hapa kitaa.

Nilijitahidi nikapata contact zake tukawasiliana na tumefahamiana vyema tu sasa cha ajabu ni kwamba tangu ni mtie sound hajajibu na hataki hata kujibu text wala kupokea calls zangu hii maana yake nn wakuu
 

Fundisanifu

JF-Expert Member
Nov 3, 2016
494
1,000
muache ucmtafute for about one week. .. then concentrate kwenye kuongea nae uso kwa uso.. hyo hajakukataaa . she iz absolutely testing ur patience
 

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
17,971
2,000
Inakuaje hii, demu apokei simu wala kujibu text baada ya kumtia sound...
Kuna demu flan nmemuelewa kinyama hapa kitaa... Nlikjitahidi nikapata contact zake..tukawasiliana na tumefahamiana vyema tu... Sasa cha ajabu ni kwamba tangu ni mtie sound hajajibu na..hataki hata kujibu text wala kupokea calls zangu.. Hii maana yake nn wakuu
Mpe hela, akujibu kwa bando gani?
 

dumejm

JF-Expert Member
Feb 18, 2016
1,170
2,000
hko ataharibu kabisa sio kila mtu anapenda hela acje kum2mia akarudishiwa mara 2 na matuc juu ... hcho kibuti cha hvo kibaya kwa dem wa kitaa kimoja tena ni cha ugoko mkuu
Sasa kama ni kibuti kwann asijibu mkuu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom