Inakuaje hapa jamani?

Inakuaje hapa jamani?

Habari ndugu zangu,

Hivi jamani inakuaje mimba nibebe mimi halafu kisirani awe nacho mume wangu?yani utasema ye ndo mjamzito...mara kanuna mara awe kawaida.

Inanipa stress sana
Man%20and%20pregnant%20woman%20sitting-1484910
 
Hahaha kasubiri mpaka sahv ndo namalizia trimester ya pili?ananitesa kwakweli kwasababu napenda kuwa karibu naye sana hasa sahv but ni kama ananisukuma mbali naye n I know na mimi nikiizoea hii hali itatupa shida baadae

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

vunja ukimya zungumza nae.... jitahidi kwenye suala zima la usafi.
 
majanga!ona majangaa!mbona majangaaa!
hamna bhana ni kawaida i remember when my sister was pregnant shemej angu alikua anatema mate, hapendi dagaa kutwa kula ndimu n siku ya kujifungua dada shemej aliumwa sana tumbo huwez amini.
 
Back
Top Bottom