Inakuaje CHADEMA wanamtaja Hayati Magufuli kila mada zao ina maana wanamuogopa aliyepo madarakani sasa

Inakuaje CHADEMA wanamtaja Hayati Magufuli kila mada zao ina maana wanamuogopa aliyepo madarakani sasa

Scared

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,847
Reaction score
17,503
Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi kupoteza uungwaji mkono.

Mwisho wa siku, kwenye maandamano mtabaki CHADEMA peke yenu barabarani, mkapigwa virungu, mkalala selo, kwa sababu mmeonekana kuendekeza madaraka badala ya kuonyesha uzalendo wa kweli kwa nchi.
 
Back
Top Bottom