Habari ya asubuhi wanajamvi.
Kiukweli naboreka sana na watu wanaotafuna chakula kwa kupiga kelele na kuachama midomo wakati wa kula.
Aibu hata mbele ya wageni jaman.
Mfano utakuta baba zima linapanua mdomo kupiga soga huku chakula kipo mdomoni, mpk punje za msosi znatoka nje. Hapo akitafuna mpk mtu alie pembeni yake anasikia. Inakera sana.
Hata nikiwa hotelin nakula, nikimuona mtu anatafuna ivyo hamu ya kula yote inakata. Wazazi tuwafundishe watoto wetu table manners ikiwemo kutafuna kwa staha wasitie aibu mbele za watu.
Sio watoto tu hata partners wetu jamani tuwaelekeze jinsi ya kutafuna ili wabadilike.