Inakera sana: Mtu umemlipia nauli kutoka mkoa hadi mkoa baada ya muda mrefu hamjaonana, akija gemu hafifu sana

Hahahahahaha labda kuna njemba huko aliko Mkuu linamkuna kihuni hivyo alikuja kwako akiwa hana hata chembe ya nyege.

Jamani hizi ni zama za nipe nikupe! Huu ndio ukweli wa maisha ya siku hizi.

Wadada mnaopenda kuhudimiwa na wanaume( Karibu nyote mnapenda) mjipime na kujitafakari kama huduma mnazotoa zinakidhi viwango au la!

Huyu mpenzi wangu mimi kutokana na kazi zangu za kuhudumia jamii, nakuwa bize sana mwaka hadi mwaka kiasi kwamba hatuonani mara kwa mara, agalau tunaweza kuonana mara mbili au tatu kwa mwaka.

Anaweza kudai amenimisi sana( ofcourse hata mimi nammisi sana) nakuja kwangu mara nyingi hugharamia safari zake mwenyewe au mimi kama mwanaume namlipia kila kitu au kumrejeshea gharama zote na zawadi kedekede. Akifika kwangu huku Mkoani, Tendo moja tu yuko hoi tena la kawaida, hana hamu tena, na ananiuliza hivi tutarudia tena?? Nakereka sana.

Sasa huduma nimesitisha zile 50k na100k za hapa na pale simpi na wala simwambii kwa nini. Ni mwaka sasa shida zimemuota kwenye meno, kila siku analialia nimsaidie. Amechezea Bahati kwa kujiona yeye mzuri sana. Sitoi hata senti kila siku namsingizia Mh Rais Vyuma kakaza.

Wadada na wanawake Jifunzeni kwa hili Huduma mbovu haileti thawabu.

Nimepata Kifaa kipya
 
Sasa kama mwanamke amechoka we mwanaume inakuhusu nini gegeda mpaka urizike mwanaume nsio mbaya maana ikilala imelala sasa hilo shimo nalo linakuchoka zaidi ya wewe kudumbukia kama utakavyo acha ufala bakana uwezavyo hadi apige nduru mzibe mdomo hadi urizike nyau wewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom