INAKERA:inaandika typing.......nusu saa nzima halafu akisend kumbe ni OK tu.

adden

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
7,035
15,540
Nyie madem mnaboa sana!
Unachat na mtuuu kila mda inaandika typing......
Mwisho kumbe unajibu tu P.
acheni kusita sita huvyo mnavyoogopa kutuambia ndio tunavipenda..nyambafuu
 
Aisee Mkuu mbona umewatukana kistarabu hivyo??? Nikusaidie nini? Ili tupunguze hasira wote?
 
hapo unategemea unajiandaa kifikra kusoma kifungu cha habari kumbe ni muhtasari tuu
 
Back
Top Bottom