Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Ndugu zangu Wanajamii Poleni na Majukumu Yenu ya kila siku!
Lengo la Kuandika uzi huu ni kuelezea Hisia zangu kuhusu kero hii nnayokutana nayo!
Kimsingi Mimi ni Mwanafunzi wa Civil Eng.
Sasa kuna Mahali nliomba Field (Tanroads) Na Barua nilipeleka kitambo sana lakini cha ajabu wananiamba Nimekosa, sasa Huwa najiuliza kwanini wanasumbua katika kuchagua wakati nawafanyia kazi Bure na sihitaji chochote kutoka kwao? Na sio ivyo tu kuna wenzangu pia kwenye Makampuni Mengine nao wanaambiwa wamekosa hivo hivo.
Je tatizo ni nini na Je ni sawa?
Kama Kuna mwenye idea Anisaidie sababu nimekuwa Disapointed saana! ukizingatia muda umeenda sasa.
Na pia wanandugu kama Kuna Mtu anafaham kampuni yoyote inayojihusisha na Maswala ya Engineering (civil) kwa upande wa Arusha, Manyara na Kilimanjaro!
Naombeni ani PM au aweke Hapa Adrees yake Hapa au Hata Jina la kampuni N Mahala inapopatikana katika Mikoa Tajwa!
Ahsanteni sanaa!