jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,585
asante mkuu, nilimaanisha hapo asingekuwa na cha kuomba ushauri rather angesepa tu mkuuKujiamini kwa namna gani?? Mkuu ungejaribu kuweka ufafanuzi kidogo
asante mkuu, nilimaanisha hapo asingekuwa na cha kuomba ushauri rather angesepa tu mkuuKujiamini kwa namna gani?? Mkuu ungejaribu kuweka ufafanuzi kidogo
Nakuhusisha kwakuwa unaomba ushauriwe kwa mtu ambae tayari umeshajua ni mshiriki wa tukio husika.Nooh mkuu mimi sipo kwenye hilo kundi unaposema niache ni umenijumuisha mkuu
Muache. Mtasemwa na manesi siku anaenda kujifungua.
yes kabisa, hapo anaomba ushauri wa nini sasa wakati nafsi yake ishamtuma pazuriHahahah haya mkuu unamaanisha kwamba kuomba ushauri ni kutokujiamini au??"
Dooh hilo tatizo mimi nilitaka ushauri ili niweze kufanya lililo sahihi zaidi ndiyo maana nimeona kuomba ushauri ni kitu kizuri kuliko kufanya maamuzi ya moja kwa moja kama wewe unavyofanya na kuhusu kuomba ushauri ni kutokujiamini ni hapana mkuu sio kweliyes kabisa, hapo anaomba ushauri wa nini sasa wakati nafsi yake ishamtuma pazuri
hahahahahah
mimi huwa napenda kuchukua maamuzi sahihi kwa wakati sahihi
Kuna ukweli.Hivi hii kitu ni kweli?!
Ukishauriwa sio sahihi ulichokiamu itakuwaje au huelewi ulichokiombea ushauri?Kama umesoma thread vizuri unachotakiwa kushauri si umekitambua ??
uko sahihi kwa namna moja ama nyingineDooh hilo tatizo mimi nilitaka ushauri ili niweze kufanya lililo sahihi zaidi ndiyo maana nimeona kuomba ushauri ni kitu kizuri kuliko kufanya maamuzi ya moja kwa moja kama wewe unavyofanya na kuhusu kuomba ushauri ni kutokujiamini ni hapana mkuu sio kweli
unajua hata mimi nashindwa kumuelewa ila bhana tunatofautina sanaUkishauriwa sio sahihi ulichokiamu itakuwaje au huelewi ulichokiombea ushauri?
Ndiyo maana ya ushauri mkuu utaangalia asilimia ngapi zipo kwa uliloliamua kam ni nyingi basi ni sahihi na linaendana na uhalisia na ukweli katika jamii kama ni umepata uwiano mbaya ukilinganisha na unachokiamua ujue sio sahihi ulichokiamu tafakari upya ""ndiyo maana watu wanapiga kura kuchagua kiongozi sio kwamba wote hawana sifa nooh ila anaangaliwa aliyebora zaidi mkuu"" mkuu ndiyo falsafa ninayoifuata mkuu natumaini umenielewaUkishauriwa sio sahihi ulichokiamu itakuwaje au huelewi ulichokiombea ushauri?
Kuna ukweli.
Sijaelewa.Hata kwa wale wanaofanya maandalizi na kutumia vilainishi pia?!!