Inahitajika Toyota Land Cruiser Hard Top

Inahitajika Toyota Land Cruiser Hard Top

pangalashaba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2011
Posts
1,316
Reaction score
1,609
Wasalaam wana jf.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Inahitajika Toyota Land Cruiser Hard Top iliyo katika hali nzuri. Iwe full AC plus Airbag. Iwe macho ya panzi. Kwa mwenye nayo au anafahamu inapopatikana aje PM pls.
NB: Maana ya kuulizia jf ni kwamba inahitajika iliyokwishatumika mazingira ya kikwetu kwetu bongo.
 
Hujasema kama unataka iwe wagon au pick up.....
Gari zipo sema bei zake baba

Ova
 
Back
Top Bottom