FFU wametolewa Kigoma Mjini Iveco Mbili,Pila Moja Na Land Cruiser Hard top, wanaelekea Buyungu kwenye Uchaguzi

tatum

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
5,786
4,490
“FFU wametolewa Kigoma Mjini Iveco Mbili,Pila Moja Na Land Cruiser Hard top Nyepesi zote zimefungwa Bendera Nyekundu Juu zinaelekea Kakonko ( Buyungu).” sms kutoka Kibondo. Ninamshauri RPC Kigoma awe makini sana. HATUTAKUBALI damu ya MwanaKigoma kumwagika sababu ya siasa za CCM.

Hiyo hapo juu ni tweeter ya Mhe Zitto Kabwe Ruyagwa

Hii tabia ya baadhi ya viongozi kuwatisha wapiga kura katika chaguzi sidhani kama yanamsingi wowote.Kazi moja kubwa ya Jeshi la Polisi ni kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zake kwa wale wanafuata sheria za nchi zilizotokana na Katiba yetu ya mwaka 1977 na mabadiliko yake.

Kwa yoyote yule atakaye enda kinyume na sheria za nchi hakuna namna lazima waliopewa mamlaka kuhakikisha wananchi wanafuata sheria za nchi watakushughulikia tu kwa mujibu wa sheria na si wengine ni Jeshi la Polisi.

Wananchi mpiga kura nenda kwenye kituo chako cha kupiga kura ukifuata sheria zote za uchaguzi zilizowekwa kwa mujibu wa sheria wala Jeshi la Polisi halitakugusa kabisa ila ukienda kinyume chake utapambana na mkono wa dola.
 
Ccm wamewekeza nguvu kubwa kwa polisi na ccm wameligeuza jeshi hili kuwa ni watesi wa wananchi na si walinzi wa wananchi... Wananchi mnahitaji kujilinda wenyewe maana polisi ni walinzi wa ccm sasahivi.. Raia muwe makini na kuandaa nguvu ya kutosha dhidi ya hawa wadhalimu ccm.. Wananchi wakiamua hakuna wanaloshindwa.. Hasa kipindi hiki cha udikteta raia tunatakiwa kushikamana Sana'a kwa umoja....
 
kwahiyo mtu yeyote anaeunga mkono vyama pinzani yeye anaenda tofauti na sheria za nchi kwahiyo ashughulikiwe? Tatizo la kuandika na huku upo mw*zini.
 
[B]Zitto Kabwe Ruyagwa[/B]‏Verified account @[B]zittokabwe[/B] 19h19 hours ago
“FFU wametolewa Kigoma Mjini Iveco Mbili,Pila Moja Na Land Cruiser Hard top Nyepesi zote zimefungwa Bendera Nyekundu Juu zinaelekea Kakonko ( Buyungu).” sms kutoka Kibondo. Ninamshauri RPC Kigoma awe makini sana. HATUTAKUBALI damu ya MwanaKigoma kumwagika sababu ya siasa za CCM.

Hiyo hapo juu ni tweeter ya Mhe Zitto Kabwe Ruyagwa

Hii tabia ya baadhi ya viongozi kuwatisha wapiga kura katika chaguzi sidhani kama yanamsingi wowote.Kazi moja kubwa ya Jeshi la Polisi ni kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zake kwa wale wanafuata sheria za nchi zilizotokana na Katiba yetu ya mwaka 1977 na mabadiliko yake.

Kwa yoyote yule atakaye enda kinyume na sheria za nchi hakuna namna lazima waliopewa mamlaka kuhakikisha wananchi wanafuata sheria za nchi watakushughulikia tu kwa mujibu wa sheria na si wengine ni Jeshi la Polisi.

Wananchi mpiga kura nenda kwenye kituo chako cha kupiga kura ukifuata sheria zote za uchaguzi zilizowekwa kwa mujibu wa sheria wala Jeshi la Polisi halitakugusa kabisa ila ukienda kinyume chake utapambana na mkono wa dola.
Jeshi la polisi linapo jivisha silaha nzito mpaka kwenye meno linawatisha wapigakura, mbona Dar. hatuoni vitisho vya aina hiyo! FFU wanapokwenda mahali wakiwa wanapeperusha bendera nyekundu usiende anga hizo si salama, uchaguzi si vita ingawaje wanapokuwepo Chadema uchaguzi hugeuzwa vita.
 
“FFU wametolewa Kigoma Mjini Iveco Mbili,Pila Moja Na Land Cruiser Hard top Nyepesi zote zimefungwa Bendera Nyekundu Juu zinaelekea Kakonko ( Buyungu).” sms kutoka Kibondo. Ninamshauri RPC Kigoma awe makini sana. HATUTAKUBALI damu ya MwanaKigoma kumwagika sababu ya siasa za CCM.

Hiyo hapo juu ni tweeter ya Mhe Zitto Kabwe Ruyagwa

Hii tabia ya baadhi ya viongozi kuwatisha wapiga kura katika chaguzi sidhani kama yanamsingi wowote.Kazi moja kubwa ya Jeshi la Polisi ni kuhakikisha ulinzi wa raia na mali zake kwa wale wanafuata sheria za nchi zilizotokana na Katiba yetu ya mwaka 1977 na mabadiliko yake.

Kwa yoyote yule atakaye enda kinyume na sheria za nchi hakuna namna lazima waliopewa mamlaka kuhakikisha wananchi wanafuata sheria za nchi watakushughulikia tu kwa mujibu wa sheria na si wengine ni Jeshi la Polisi.

Wananchi mpiga kura nenda kwenye kituo chako cha kupiga kura ukifuata sheria zote za uchaguzi zilizowekwa kwa mujibu wa sheria wala Jeshi la Polisi halitakugusa kabisa ila ukienda kinyume chake utapambana na mkono wa dola.

Hilo jeshi ndio linalosimamia uporaji wa kura ili ccm ishinde. Siwashauri watu kupiga kura huku matokea ya box la kura hayaheshimiwi. Itafutwe njia nyingine sio hiyo ya kura
 
toa hayo mapendekezo may be yanaweza kukusaidia kama unavyfikiri
 
Huu ndio tunaita upuuzi. Yaani mtu ushahidi upo mtu anapigwa hata baada ya kujisalimisha,halafu unasema eti tusubiri uchunguzi.
Hii sio akili,bali ni utahira.
unaweza kupigwa kihalali
 
toa hayo mapendekezo may be yanaweza kukusaidia kama unavyfikiri

Mapendekezo yako hivi, wananchi wengi wasijitokeze kupiga kura kwani huo ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Wakileta hayo wanayoita maendeleo tutaendelea kuwabeza na bado tutatumia hizo huduma kwani nyingi zinahitaji pesa zetu. Na wasipoleta hayo wanayoita maendeleo matusi yake hawatoyamudu.
 
Kupiga kura ni takwa la kisheria katika kupata viongozi kwa njia ya demokrasia nchini kwetu huliwezi kulikwepa.
 
Hakuna sheria inayomlazimisha mtu kupiga kura. Labda kama hujui unaloongea. Narudia tena, kupiga kura kwa sasa ni upuuzi kama upuuzi mwingine. Na kwa sasa kuna kampeni nimeanzisha kila nikiwa kwenye maeneo ya umma kuhamasisha watu kutokupiga kura na ninashukuru napata uungwaji mkono, kwani kila mtu anaona upuuzi unaoendelea. Hiyo 2020 utaona idadi ndogo ya wapiga kura itakayojitokeza hutaamini.
 
Haya ni matumizi mabaya ya mali za umma. Hivi Serikali tu ndio yenye haki miliki ya vyombo vya usalama? Any way nadhani watakua mazoezi tu
 
Back
Top Bottom