Inahitajika nyumba ya kupanga Sinza

Inahitajika nyumba ya kupanga Sinza

Status
Not open for further replies.
Dunia duara. Wengine wanaihama Sinza baada ya vyuma kubuma. Wengine ndiyo kwanza wanakutaka Sinza.
Kweli usiseme hela ngumu siku hizi. Sema sina hela kivyako.
Jamaa ana tatizo saana..watu tushakimbia sinza toka mwaka 2015 ..sinza chumba kimoja na tiles za kuzugia unaambiwa laki2.50 wakati hiyo nikiwa kimara napata nyumba yenye jiko,choo cha ndani na public..kwa bei hiyo..ila kwa sinza unaambulia chumba kimoja tu

Njoo kimara, Ubungo kibangu makoka kuna nyumba nzuri geti safi..maji kila kitu kipo

Sinza kwa sasa hat bure siwezi kuishi..nyumba za ajabu saana..za miaka 1980
 
0718636191 Dalali wa Nyumba Makoka,kibangu utapata nyumba nzuri hutojutia hela yako..sinza,kino achia watoto wadogo wanaoishi chumba kimoja
 
Mkuu yeye anataka Sinza anasema sehemu yoyote ile hata bure hakai
 
0718636191 Dalali wa Nyumba Makoka,kibangu utapata nyumba nzuri hutojutia hela yako..sinza,kino achia watoto wadogo wanaoishi chumba kimoja
Mkuuu kibangu Yule hawez kukaa, hata bure hawez kukaa Kimara au huko ulikokutaja labda kidogo unaweza kumshawishi Ubungo
 
Kwenye hilo fungu la ushenzini hebu ondoa hilo neno "TABATA"
Mbona wewe unapingana na wengi mkuu maana sisi wote twajua kuwa Sinza ni sehemu moja tulifu Sana yenye armani kubwa mno na yenye starehe na wengi wanapenda kukaa Sinza ila wanashindwa maanaa wanasema ni sehemu Ya garama sasa wewe utakuwa unazungumzia tabata, Mbez juu Mbez Kimara, kinondoni temeke au buguruni
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom