mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,195
- 49,144
Sinza ni sehemu tulivu?Makahaba pale ni nyumbani,ma bar,vurugu zote pale ndio kwao aisee.Mbona wewe unapingana na wengi mkuu maana sisi wote twajua kuwa Sinza ni sehemu moja tulifu Sana yenye armani kubwa mno na yenye starehe na wengi wanapenda kukaa Sinza ila wanashindwa maanaa wanasema ni sehemu Ya garama sasa wewe utakuwa unazungumzia tabata, Mbez juu Mbez Kimara, kinondoni temeke au buguruni