stella1975
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 870
- 1,252
- Thread starter
- #21
Unamuogopeha Mdogo wangu bhana mbona Sinza maisha Ya kawaida SanaMaisha ya Sinza uwe na pesa hasaa hakuna kule andazi la Mia mbili yaani mtu una umiza kichwa kweli kweli vyakula ghali 🤣🤣🤣🤣