Inahitaji ujasiri kumiliki PASSO

Wewe umenunua Passo kuu kuu unakuja kulia lia huku... Tangu lini gari imetembea kilometer kama laki mbili ivi ikawa nzima. Nunua angalau ka Passo kametembea KM elfu sabini angalau na wewe uongeze nyingine hamsini hapo kabla hakajaenda kaburini kuchinjwa skreppa...
Hizi habari mnatoa wapi? Sasa hivi nina gari lina km 234,000. Hili ukiliona na kuendesha hutajua kama limetembea km234k. Lingine limepaki lina miles 160,000 ambazo ni km 250,000+.
 
Hizi habari mnatoa wapi? Sasa hivi nina gari lina km 234,000. Hili ukiliona na kuendesha hutajua kama limetembea km234k. Lingine limepaki lina miles 160,000 ambazo ni km 250,000+.
Mkuu, hizo gari ni za engine ya Petrol au Diesel?
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
we bwana wacha ichafua passo,, we ka passo kako ka cc 990 alafu dashboard kanasoma km 509888 wadhani kataacha chemsha hata ukitia reverse tu ya dakika mbili,, wacha bhanaaa.. kati ya gari ndogo zinazofanya vyema mjini ni Paasso na kama una safari ndefu ya cc 1200 is the best
 
Mpaka kufikia hatua ya kumiliki gari aina ya PASSO inapaswa ujitoe ufahamu mbele ya kadamnasi. Gari gani isiyoweza kutembea 200 kms bila kuchemsha?

Nasubiria tamko/katazo la hizi gari toka ngazi za juu.
Acha uwongo hiyo passo yako itakuwa baiskeli ,pikpiki yenyewe inatembea 250 km bila kuchemka na aina rejeta.
 
Kati ya Suzuki Swift, Toyota Passo, Toyota Vitz/Yaris, Honda Fit na Toyota Starlet. Ni baby walker gani ipo imara zaidi, inaweza kwenda masafa zaidi (considering kuwa hizi zote ni town cars). Sijaweka Toyota IST coz nahisi ipo juu ya hizi zote.
kwanini IST hujaweka ukubwa wake nini??
 
5e8811de95cd3e867497bbe1297aa709.jpg
 
Ina version kubwa kidogo, achilia ile ya 1.3L kuna ya 1.5L engine, ndio maana nimeitoa.
vitz kuna 1L, 1.3L, 1.5L, 1.6L, 1.8L na diesel 1.4L

zote gari ndogo tu sion sababu ya kuitoa ist hapo

2ZR FE ina 1800cc imetumika kwa vitz, corolla,allion ,premio nk

na 2ZR FAE ina 1800cc imetumika kwa ist, allion,sienta, premio nk

japo watu wengi wenye ist wana 1.3-1.5L na vitz wengi wana 1.0-1.3L na passo wengi wana yenye 1.0L japo yenye 1.3L zipo sema tunameza hadi ukimuuliza mtu vitz ina cc ngapi utashangaa mtu anasema 1300cc ....mimi siwezi sema ina cc ngapi moja kwa moja mpaka kuwe na viashiria kwenye bodi mfano verosa kama nyuma imeandikwa VR25 hiyo ina cc 2500 6cly with 280hp ....
 
tatizo siyo passo tatizo hulihudumii ipasavyo...
wengi wetu tunajua service ni kumwaga oil tu na kuchange filter.
 
Huwezi kuwa na akili timamu ukaja sehemu nikakuuliza umekujaje ukasema umekuja na gari halafu ukanionesha passo...ni bora uje na daladala tu nijue hujanunua gari unajipanga. passo nayo ni gari? hiki ni kidude kinatumika kwa wale wacheza golf kuwazungusha wenye viwanja vya golf huku tanzania ndo tunasafiria. sasa passo unaenda nayo mbeya na ile milima kweli wewe una akili? unataka upate ajali njiani umsingizie shetani..kigari kinapigwa upepo kinataka kupinduka umeshwah endesha gari njia kuu ukakutana na yale malori au mabasi yameachia break yanawah mitaa flan? ule upepo wake tu unaweza ukakuta kigari chako kinaBinduka. viacheni vipasso hapa mjini tu akina mama waendee sokoni na wadada wa kazi pia kuwapelekea watoto shule. ila usije mwanaume mzima na akili zako unanambia una gari gari lenyewe passo....jinga kabisa.
 
Kapimwe akili wewe... acha dhalau
 
Back
Top Bottom