Dah!! Sasa iliyobaki ni kunywa maji!
Mkuu wewe unajiumiza bila kujua...fanya experiment hii rahisi...chukua cocacola moja imwage chooni kwenye ma'sinki kama ni machafu sana,kisha iache kwa usiku mzima...kesho yake asubuhi nenda kaangalie/ukasafishe..utakuta uchafu wenyewe unatoka kama umemwagia tindikari.Sasa Imagine...inavyokufanya ikiingia mwilini.Mkuu asante sana. Ila mi nakuja coke na pepsi ndo hatari zaidi
mkuu nilipokuwa nipo karibu na wasabato walinipatia habari za cocacola nikaachana nayo kabisa,kwani nilishaachana na bia kwa somo la leo niachane na aina zote za soda sasa fanta kwa heri.mkuu wewe unajiumiza bila kujua...fanya experiment hii rahisi...chukua cocacola moja imwage chooni kwenye ma'sinki kama ni machafu sana,kisha iache kwa usiku mzima...kesho yake asubuhi nenda kaangalie/ukasafishe..utakuta uchafu wenyewe unatoka kama umemwagia tindikari.sasa imagine...inavyokufanya ikiingia mwilini.
na bia ha haDah!! Sasa iliyobaki ni kunywa maji!
Mkuu wewe unajiumiza bila kujua...fanya experiment hii rahisi...chukua cocacola moja imwage chooni kwenye ma'sinki kama ni machafu sana,kisha iache kwa usiku mzima...kesho yake asubuhi nenda kaangalie/ukasafishe..utakuta uchafu wenyewe unatoka kama umemwagia tindikari.Sasa Imagine...inavyokufanya ikiingia mwilini.
Wakuu kwa nini siku zote vilivyo vitamu vinakuwa na madhara!
Ndo maana mimi nakunywa bia tu!!