Inadaiwa huyu ndiye Moses Lijenge (luhende)

Nadhani sijafatilia kwa undani naomba Kama Kuna anayeweza kunisaidia ilikuwaje Hawa wanajeshi Mpaka wakaunganishwa kwenye kesi ya mbowe, na je ilikuwaje mbowe akawa karibu na wanajeshi wakati wanajeshi inasemekana hawatakiwi kuwa na Chama chochote Cha siasa.

Je kesi ya mbowe kesi yake msingi wake ni upi tafadhali ( naomba nifahamishwe bila kujali kama anaonewa au hapana)
 
Hii nchi imejaa damu ya vilio nyingi sana. Ndio maana viongozi wamechanganyikiwa na laana ya kumwaga damu zisizo na hatia.
 
Nadhani sijafatilia kwa undani naomba Kama Kuna anayeweza kunisaidia ilikuwaje Hawa wanajeshi Mpaka wakaunganishwa kwenye kesi ya mbowe, na je ilikuwaje mbowe akawa karibu na wanajeshi wakati wanajeshi inasemekana hawatakiwi kuwa na Chama chochote Cha siasa.

Je kesi ya mbowe kesi yake msingi wake ni upi tafadhali ( naomba nifahamishwe bila kujali kama anaonewa au hapana)
Hawa jamaa ni wanajeshi wastaafu na walikuwa mtaani wanaendesha maisha yao. Mbowe alikuwa anatafuta walinzi/body guards ndiyo kuna jamaa (naye mwana jeshi) akawainganisha na Mbowe. Kilichofuata hawa jamaa wakadakwa mwaka jana na mwaka huu Mbowe akaiunganishwa nao.
 
Back
Top Bottom