Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Hizi ripoti mbali mbali na siri zinazofichuliwa humu kuihusu serikali ya bwana yule hazibadilishi kitu humu ndani wala kule nje. Hazimuogopeshi wala kumtisha mtu yeyote serikalini.
Maneno matupu hayavunji mfupa. Kinatakiwa kifanyike kitu kitakachovunja mfupa. Vinginevyo malalamiko mpaka muhula mwingine huku mmoja baada ya mwingine akipotezwa
 
Mbona hujaweka picha ya unavyodai tujionee wenyewe.. endeleeni kudanganyana tu..
 
Huyo hapo na cap zake za kikolomijeView attachment 727067
tapatalk_1522177605380.jpeg
 
Back
Top Bottom