Saoka JF-Expert Member Joined Oct 23, 2018 Posts 468 Reaction score 682 Jun 23, 2025 #1 Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante.
H Humble be JF-Expert Member Joined Oct 18, 2015 Posts 3,587 Reaction score 6,416 Jun 23, 2025 #2 Saoka said: Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante. Click to expand... Mwaka mmoja
Saoka said: Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante. Click to expand... Mwaka mmoja
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,707 Reaction score 49,716 Jun 23, 2025 #3 8 months - 12 months. Ma HR wengi mizigo na wavivu kwenye mambo ambayo wanaona hayana maslahi kwao
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,603 Reaction score 59,745 Jun 23, 2025 #4 October 2025 hatoboi said: 8 months - 12 months. Ma HR wengi mizigo na wavivu kwenye mambo ambayo wanaona hayana maslahi kwao Click to expand... Mlolongo wote wa nini?
October 2025 hatoboi said: 8 months - 12 months. Ma HR wengi mizigo na wavivu kwenye mambo ambayo wanaona hayana maslahi kwao Click to expand... Mlolongo wote wa nini?
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,603 Reaction score 59,745 Jun 23, 2025 #5 EP MEDICS COSMETICS STORE said: Mwaka mmoja Click to expand... Mlolongo wote wa nini? Kwanini isiwe siku moja tu?
EP MEDICS COSMETICS STORE said: Mwaka mmoja Click to expand... Mlolongo wote wa nini? Kwanini isiwe siku moja tu?
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,707 Reaction score 49,716 Jun 23, 2025 #6 stow away said: Mlolongo wote wa nini? Click to expand... ?
Samia atosha tukutane2030 JF-Expert Member Joined Apr 7, 2020 Posts 17,707 Reaction score 49,716 Jun 23, 2025 #7 stow away said: Mlolongo wote wa nini? Kwanini isiwe siku moja tu? Click to expand... Siku moja tu ni kwa nafasi saidizi . Unaajiriwa na kuthibitishwa papo hapo
stow away said: Mlolongo wote wa nini? Kwanini isiwe siku moja tu? Click to expand... Siku moja tu ni kwa nafasi saidizi . Unaajiriwa na kuthibitishwa papo hapo
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,603 Reaction score 59,745 Jun 23, 2025 #8 October 2025 hatoboi said: Siku moja tu ni kwa nafasi saidizi . Unaajiriwa na kuthibitishwa papo hapo Click to expand... Kwa hio miezi yote hio wanakuthibitisha tu?
October 2025 hatoboi said: Siku moja tu ni kwa nafasi saidizi . Unaajiriwa na kuthibitishwa papo hapo Click to expand... Kwa hio miezi yote hio wanakuthibitisha tu?
dikir kab can JF-Expert Member Joined Mar 20, 2018 Posts 2,190 Reaction score 4,312 Jun 23, 2025 #9 pia unaweza kusoma ile 'letter of appointment' maelezo ya muda na vigezo vya kuthibitishwa huwekwa hapo.
pia unaweza kusoma ile 'letter of appointment' maelezo ya muda na vigezo vya kuthibitishwa huwekwa hapo.
Puna JF-Expert Member Joined Oct 9, 2013 Posts 2,792 Reaction score 4,931 Jun 23, 2025 #10 Baada ya kumaliza mazungumzo yako na Afisa mikopo . Mwaka mmoja.
S Simba Mwepesi Member Joined Nov 17, 2022 Posts 21 Reaction score 12 Jun 23, 2025 #11 Saoka said: Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante. Click to expand... Barua yako ya ajira inasemaje kuhusiana na kipindi Cha probation?
Saoka said: Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa Ahsante. Click to expand... Barua yako ya ajira inasemaje kuhusiana na kipindi Cha probation?
hip hop uchwara JF-Expert Member Joined Jan 13, 2023 Posts 6,645 Reaction score 4,328 Jul 2, 2025 #12 .