Mwaka mmojaWakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa
Ahsante.
Mlolongo wote wa nini?8 months - 12 months.
Ma HR wengi mizigo na wavivu kwenye mambo ambayo wanaona hayana maslahi kwao
Mlolongo wote wa nini? Kwanini isiwe siku moja tu?Mwaka mmoja
?Mlolongo wote wa nini?
Siku moja tu ni kwa nafasi saidizi .Mlolongo wote wa nini? Kwanini isiwe siku moja tu?
Kwa hio miezi yote hio wanakuthibitisha tu?Siku moja tu ni kwa nafasi saidizi .
Unaajiriwa na kuthibitishwa papo hapo
Barua yako ya ajira inasemaje kuhusiana na kipindi Cha probation?Wakuu, Habari zenu naomba kujua huwa inachukua muda gani mtumishi wa umma kuthibitishwa kazini na pia huwa wannaangalia vigezo gani ili kuthibitishwa
Ahsante.