Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,417
- 7,732
Habari wana jf,
Naomba kujuzwa na ma Dr. wa jukwaa letu hili kua inachukua muda gani mwanamke kupata mimba baada ya kujifungua?
Kifupi mi na mke wangu tuna watoto wa miezi mitano na nusu ila mpaka sasa bado hajaona siku zake, je anaweza kupata mimba kabla hajaona siku zake?
Au ni muda gani wa hatari kwake kupata mimba baada ya kujifungua?
Nawasilisha....