Inachukua mda gani kupata mimba baada ya kujifungua?

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
4,892
2,000
Habari wana jf,

Naomba kujuzwa na ma Dr. wa jukwaa letu hili kua inachukua muda gani mwanamke kupata mimba baada ya kujifungua?

Kifupi mi na mke wangu tuna watoto wa miezi mitano na nusu ila mpaka sasa bado hajaona siku zake, je anaweza kupata mimba kabla hajaona siku zake?

Au ni muda gani wa hatari kwake kupata mimba baada ya kujifungua?

Nawasilisha....
 
DZUDZUKU

JF-Expert Member
Nov 8, 2012
3,822
2,000
Hongereni maana inaonesha mnalea watoto wenu vizuri (wananyonya sawa sawa)

Mtoto akiwa ananyonya sawa sawa, anazuia uwezekano wa mama kupata ujauzito, hivyo kumlinda mama yake na yeye mwenyewe.

Huyo mkeo atapata siku zake mda wowote akilega lega kunyonyesha watoto.

Pia nashauri, hakikisheni mtoto ana miaka miwili au zaidi nio mpate mtoto mwingine.

Nakutakieni maisha mema, msalim baby wenu.
 
Khantwe

JF-Expert Member
Dec 20, 2012
53,586

Mkuu na mwanamke anayeshinda mbali na mtoto je?
 
Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
4,892
2,000
Hongereni maana inaonesha mnalea watoto wenu vizuri (wananyonya sawa sawa)

Mtoto akiwa ananyonya sawa sawa, anazuia uwezekano wa mama kupata ujauzito, hivyo kumlinda mama yake na yeye mwenyewe.

Huyo mkeo atapata siku zake mda wowote akilega lega kunyonyesha watoto.

Pia nashauri, hakikisheni mtoto ana miaka miwili au zaidi nio mpate mtoto mwingine.

Nakutakieni maisha mema, msalim baby wenu.

Asante mkuu kwa majibu yako mazuri sana, pamoja na ushauri maana ni mapacha ndio mana nmeuliza ili nisiharibu mambo mapema.
 
Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
4,892
2,000
Hongereni maana inaonesha mnalea watoto wenu vizuri (wananyonya sawa sawa)

Mtoto akiwa ananyonya sawa sawa, anazuia uwezekano wa mama kupata ujauzito, hivyo kumlinda mama yake na yeye mwenyewe.

Huyo mkeo atapata siku zake mda wowote akilega lega kunyonyesha watoto.

Pia nashauri, hakikisheni mtoto ana miaka miwili au zaidi nio mpate mtoto mwingine.

Nakutakieni maisha mema, msalim baby wenu.

Kwa hiyo kama hajaona cku zake hawezi kushika mimba?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom