Nimejaribu sana kuongea nae lakini ndo hivyo Mkuu nifanyeje?Unamaanisha umuache au niweke sawa katika hili alafu ndo nitoe ushauri
Ulinzi mwingine unakeraMtu kulinda mali zake ndio umuache?,au unalingine unamtafutia sababu ya kumuacha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hana sababu yeyote ya kumtilia mashaka madamyaani umuache kisa anakupeleleza..may be she is right kukupeleleza...sio bure
Umenena vyemaI remembered the day, I talk with my Mama on telephone. I told her, mama I will get marriage... I heard her voice from other side on a telephone phone ,she was smile... And she asked me a question that I was proud answered. "SHE'S SAID, SON DID YOU TOOK A TIME TO KNOW HER??".
Na wewe jiulize .
Hahaha that is too much!Sema mkuu ulikuwa unatafuta sababu tu,ila hapo sijaona sababu ya kumuacha.
Jamaa anaonesha anaupendo wa dhati kabisa kwako
Jibu Ni hapana mkuu! Ila ubinadamUnamwonea huruma kwani watu wote ambao hawana kazi unauwezo wa kuwasaidia?
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji32][emoji32][emoji32][emoji32] mkuu daahI remembered the day, I talk with my Mama on telephone. I told her, mama I will get marriage... I heard her voice from other side on a telephone phone ,she was smile... And she asked me a question that I was proud answered. "SHE'S SAID, SON DID YOU TOOK A TIME TO KNOW HER??".
Na wewe jiulize .
Jinsia yako kwanzaNa hii kutokana na tabia yake ya kunipeleleza sana
¹Novemba nilipata ka semina huko kibaha kwa hio nikawa nimeaga kwenda huko semina
Sasa nikiwa huko akampigia simu mzee wangu akiwa anaulizia kama nimefika huko Arusha wakati nilikuwa nawasiliana kila saa nikiwa huko kwenye semina lakini hakuniamini
²Juzi hapa kamfuata rafiki yangu akiwa na lengo tu la kunipeleleza na hizi habari nilizipata pia.
Nimejarbu sana kumuonya lakini imeshindikana
Kila nikimwangalia huruma hunijia maana hana kazi yoyote ya kumwezesha hata kula
Halafu ni mbishi sana!
Karibuni wadau kwa ushauri!
Sent using Jamii Forums mobile app