Inabidi ifanyike research ya umri wanaokufa mapadre ili kujua uhusiano wa vifo vya wanaume waliooa na stress za ndoa zao

bush crazy

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
757
1,020
Habari wakuu!!
Niende moja kwa moja kwenye maada. Takwimu zinaonyesha wanaume Ni wengi kuliko wanawake hapa duniani, ikiwa na maana wanawake huzaliwa wengi kuliko wanaume.
Na ingekuwa wanawake wanaoa Basi kunauwezekano wanawake wengi wangekosa wanaume wa kuwaoa na wanaume tungeolewa tukiwa wadogo Sana sababu ya competition Kati ya wanawake .
Sasa linapokuja suala la kifo nidhahiri kwamba wanaume wengi wanakufa kabla ya wenzi wao na ndio maana mitaani wajane Ni wengi kuliko wagane. Chunguza hapo mtaani Kuna mabibi wangapi ukilinganisha na mababu.

Wengi husema stress za ndoa Ni sababu, Basi kuna umuhimu wa kufanya utafiti ukihusisha umri waishio mapadre na wanaume waliooa. Ilikujua kweli maisha ya ndoa yanaathiri afya za waoaji.
Lengo Ni kuongeza life expectancy ya wanaume.

"Nyoka hafunikwi kwa tenga"
 
Hao mapadre wana wapenzi kama kawaida, stress za mapenzi wanazo so watakufa umri sawa na wanaume wengine waliopo kwenye ndoa
 
Takwimu zinaonyesha wanaume Ni wengi kuliko wanawake hapa duniani, ikiwa na maana wanawake huzaliwa wengi kuliko wanaume.

Na ingekuwa wanawake wanaoa Basi kunauwezekano wanawake wengi wangekosa wanaume wa kuwaoa na wanaume tungeolewa tukiwa wadogo Sana sababu ya competition Kati ya wanawake
emoji23.png
emoji23.png
.
Umeniacha ukanichanganya hebu andika bandika tena kwa namna nyingine hamna namna nyingine
 
Back
Top Bottom