Ina maana hata kukiss hujui?

duuuh kweli kabisa kuna demu mmoja haya mambo hajui kabisa

tulikiss ila cha moto nilikiona lips zote azifai mtoto anameno makali yule duuuh

mpk nikajiuliza au anayanoa meno mana sio kwa kunirarua kule lips
Mzee ulipigwa kiss la kivampaya, sio poa
 
kuna movie inaitwa addicted nimetoka kuiangalia punde, jamaa wanjua kukiss hadi mtazamaji una feel something, wako vizuri, sasa kutana na mbongo hilo domo anavyokupa, wakati wenzao wanacheza na lips. kisses za kibongo ni kero bora ugegede tu mbele kwa mbele.
 
3e una demu mzungu at
 
Kwa wanawake na wanaume, wote msikie,

Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na relationship nzuri, lakini tatizo hata kissing tu ni shida. Mtafeli! Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba, haieleweki anafanya nini, hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua salimia ukajichue lips zote za moto, hoi, nyang'anyang'a.

Jamani naongopa? Hamna watu wa aina hii? Even kissing is a problem, ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa? Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama mzaramo kuongea Spanish? Wengine mnakosa na mmekosa wachumba hivihivi kwa kudharau hili, Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama Mabehewa ya Tazara.

Mdada wa watu anaona mmmh! Hiki kimbembe, siku ya kukupa jibu Anakwambia,''sorry, I think I am rushing into this relationship, I need time to be alone'' kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema hujui kubusu maana akikwambia utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo, utapigaje busu kama unapigana vita vya Maumau.
hahahaha hii ni kweli kabisa, mi nilikutwa mape, nimetongozwa na mchepuko nami nikautamani, uku na uku nakamwomba kisi, yelewiiii nilitaka kuzimia kama si kutapika, alikua ananimeza na kunipakaa mate tu... kaaa na ako ka msemo kako ndoa ako ako nami nilimgonga nako, toka pale nilibaki njia kuu.
 
Asikwambie mtu!!! Ukikutana na mtu hasiyejua kukiss utajuta.!! Kuna mkaka aliwai nikisss niliumwa lips wiki nzima. Yaani alikua anang'ata ile mbaya. Unamsukumiza lakini wapi! Aisee nilikoma. Yaani kiss tu ilinikimbiza
 
Kama unaona kinyaa take a piece of chocholate au chewing gum au kula ice cream kabla hujampa mate *Excuse ma French am Long Kisser*
 
Asikwambie mtu!!! Ukikutana na mtu hasiyejua kukiss utajuta.!! Kuna mkaka aliwai nikisss niliumwa lips wiki nzima. Yaani alikua anang'ata ile mbaya. Unamsukumiza lakini wapi! Aisee nilikoma. Yaani kiss tu ilinikimbiza
pole sana, ungeenda kuwekewa P.O.P la lipsi mbona hatare, aya endelea kujifunza kwa wengine.
 
Kwa wanawake na wanaume, wote msikie,

Kuna baadhi yenu mnatamani kuwa na relationship nzuri, lakini tatizo hata kissing tu ni shida. Mtafeli! Unakiss na mtu ana vurugu utadhani anapalilia migomba, haieleweki anafanya nini, hadi ukitoka hapo unapitia dukani kununua salimia ukajichue lips zote za moto, hoi, nyang'anyang'a.

Jamani naongopa? Hamna watu wa aina hii? Even kissing is a problem, ukipewa kulima lami si ndo utaleta maafa? Kwani kujifunza kissing nayo imekuwa ngumu kama mzaramo kuongea Spanish? Wengine mnakosa na mmekosa wachumba hivihivi kwa kudharau hili, Day 1 tu umepewa kideti unakiss unaruka ruka kama Mabehewa ya Tazara.

Mdada wa watu anaona mmmh! Hiki kimbembe, siku ya kukupa jibu Anakwambia,''sorry, I think I am rushing into this relationship, I need time to be alone'' kumbe umeharibu mwenyewe kaogopa tu kusema hujui kubusu maana akikwambia utampiga makofi na wengine mtaanza kutukana bure lakini habari ndo hiyo, utapigaje busu kama unapigana vita vya Maumau.
Pole utakuwa umeshang'atwa mdomo wahi panadol haraka sana
 
hahahaha hii ni kweli kabisa, mi nilikutwa mape, nimetongozwa na mchepuko nami nikautamani, uku na uku nakamwomba kisi, yelewiiii nilitaka kuzimia kama si kutapika, alikua ananimeza na kunipakaa mate tu... kaaa na ako ka msemo kako ndoa ako ako nami nilimgonga nako, toka pale nilibaki njia kuu.
pole sana mkuu, hope umepata funzo maridadi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom