Ina maana hakuna ages 19-28 humu?

Ina maana hakuna ages 19-28 humu?

zagarinojo

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2020
Posts
2,622
Reaction score
2,865
Ina maana JF mmesha zeeka wote mko above 30 tu. Hakuna wale newcomers na wale wanao range ages hizo Kama mpo tukutane hapa basi!

Wakati mwingine kuongea na ages mate wako inapendeza sana kulikoni pale unapoongea na wale makonki
Jokes/Likes and Dislikes/Refreshing

Au wote ni wahenga
Chill Hapa Kinyamwezi
 
Mi kama kuna watoto wakike kuanzia 19 mpk 24 hivi ndo nitakaa kwenye huu uzi lkn kama sote ni vidume tu hiyo itakuwa ni sawa na mkate bila blue band au bila chai.. so babies hot girls njooni mpige stori nami walau tubadilishane mawazo n.k binafsi mi ni 24..😉
 
Back
Top Bottom