In which stage are you now?

In which stage are you now?

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1413398233246.jpg
 
mshana jr ukipata hii kitu kichwa kinakuwa chepesi pamoja na maamuzi ya haraka na magumu

waulize vibaka na waendesha bodaboda
MO11 situmiagi hii makitu kabisa labda itokee tu...! Maana...!!! Unaweza kujistukia unatangaza mapinduzi hivihivi hii kitu haina adabu kabisa ila ni ni nzuri kwa afya
 
Last edited by a moderator:

sio kwamba natumia hapana ila nawaona wanaotumia wapo njema kwenye maamuzi magumu na ya haraka
 
Last edited by a moderator:
MO11 situmiagi hii makitu kabisa labda itokee tu...! Maana...!!! Unaweza kujistukia unatangaza mapinduzi hivihivi hii kitu haina adabu kabisa ila ni ni nzuri kwa afya

Mh kamanda, hapo kwenye red sijakuelewa ujue!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom