donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,129
Sawa sawa mkuuPombe ni kwa ajili ya watu.umeumbiwa wewe na mimi
Kama kawaida chiefPiga vitu
Upo sahihi kabisaIn wine there is a truth
Ndio maaana hamna mtu mkweli kama mlevi yaan hua anaongea ya rohoniInvino veritus
In wine, truth
Ndio maaana hamna mtu mkweli kama mlevi yaan hua anaongea ya rohoni
In aqua sanitasInvino veritus
HA! HA! HA!Ndio maaana hamna mtu mkweli kama mlevi yaan hua anaongea ya rohoni
Ukwelu upo sana mkuu. Kama mm kesho nko kazink saa tisa alfajiri ila nipo nakula vyumadah umenikumbusha MTU Fulani akinywa Serengeti huo ndo wimbo wake" in vino veritas" sasa najiuliza kwenye pombe kuna ukweli gani??
Bado mkuuTangazo umelipia...???
ngoja nikutumie namba pm ulipe..si unajua nipo kitengo cha masoko na biashara hahahaBado mkuu