In this life never saynever

In this life never saynever

nikiwe

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
775
Reaction score
345
Wanajamvi asalaam aleikum....habari zenyu banaaaaaaa

kimya kingi kinamshindo,nilikuwa holiday it was fun nime-enjoy kiukweli

but jambo la msingi ni kuwa am getting married...soon

nimekuta PM za kumwaga jamani shukrani kwa wote

ila niseme tu for now i have hit the rock bottom

i dont know if he is the one or if am making the right decision

what i know is that am getting married

its now or never

nimempata msukuma ananifanya natabasamu all day long

ananipikia ananikogesha ananifulia kwa bed ndo usiseme OMG wat can i say?

am in love....
 
IS IT YOU AS YOU YOU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????? Or is it my mind playing tricks on me????? Ama kweli kila shetani na mbuyu wake! Na kwa hakika umepata mbuyu wako!

I cant be happier for you!!!!!!! Aaaaaaaaw!!!!!!!!
 
^^
nikiwe ??
CONGRATS AND GOD BE WITH YOU.
Ama kweli,
When God says YES no man can say NO
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
nikiwe ??
CONGRATS AND GOD BE WITH YOU.
Ama kweli,
When God says YES no man can say NO
^^
 
Last edited by a moderator:
yes its me finally am going to say the word i do, i dont know what have gotten into me but am certain that soon am gonna tie the knot
^^
nikiwe ??
CONGRATS AND GOD BE WITH YOU.
Ama kweli,
When God says YES no man can say NO
^^
 
its real me am the happiest woman on earth (at least for 0even my mom can belive it but its true
IS IT YOU AS YOU YOU!!!!!!!!!!!!!!!!!!!???????? Or is it my mind playing tricks on me????? Ama kweli kila shetani na mbuyu wake! Na kwa hakika umepata mbuyu wako!

I cant be happier for you!!!!!!! Aaaaaaaaw!!!!!!!!
 
Never say never! Hapo vipi?
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1378139611694.jpg
    uploadfromtaptalk1378139611694.jpg
    13.2 KB · Views: 536
Hongera sana nikiwe, ila ukiingia kwenye hicho chama usijisahau ukabetweka, maana hujui mwenzako alikupendea nini! Jitahidi kudumisha hali aliyokukutanayo wakati wa uchumba kwa miaka yako yote ya maisha ya ndoa ili usije baadaye kuonekana "umebadilika!". Kama alikukuta ni msafi, mcheshi, mpenda watu, mchapakazi, mtu wa kujituma, mtu wa dini, mpenda ndugu, mpole,mtaratibu nk endelea hivyo hivyo mtakuwa na amani na furaha siku zote.

Kila la kheri.
 
Last edited by a moderator:
bravooooo gal...
May God b with u!!
Kupendwa rahaaaaa
 
uje utupe feedback za wakwe wa kisukuma maana tunawajua fika cha mtoto wao kamwe hakiwezi kuwa chako hahahahaa awe duniani au amekufa ulicheka na kuninanga siku ile thanks god sasa ua going to swallow a bitter pill hapo ndipo utakikimbia kivuli chako mwenyewe .
nilijuaga kwa maneno yale hutakuja olewa kama ulivyokuwa unajisemea ,usitukanae mamba hujavuka mto .sisemi vibaya ila ulinitusi that day,na nilichukia sana japo sikukujibu
KILA LA KHERI BIBIE ,MAISHA NI HAYA HAYA HAMNA MENGINE
 
Mbona wasukuma hatunaga kwere na wifi zetu?

hongera sana nikiwe.
nijambo jema sana katika maisha kuamua kuolewa na hasa pale umpatapo mtu mnayependana kwa dhati. karibu kwenye maisha ya kuwa na full commitment kwa mtu ni maisha mazuri sana iwapo utayapatia ila ni mabaya sana iwapo hutayaelewa yanataka nini.

Jambo la msingi ingia kwenye ndoa yako ukijua ndipo mahali ambapo utapata upendo na heshima ya kweli lkn pia ndipo maahali ambapo, uvumilivu, utu wema unahitajika zaid.

nisemapo uvumilivu sina maana ya kwamba ni gereza la mateso la hasha ila namaanisha ni mahali ambapo unatakiwa ujue kuvumilia mapungufu ya mwenzi wako na utafute njia ambayo itakufanya mapungufu hayo yasiyo msumari wa moto. wengi huvumilia kwa sala na sadaka na mimi pia nakushauri uvumilie kwa sala na sadaka.

Otherwise Mungu aliyewakutanisha basi awaanazie nuru ya uso wake, na BWANA MUNGU awabariki na kuwalinda, na jina la Mungu wa Yakobo liwainue.

usininyime ubwabwa lol!!
 
Last edited by a moderator:
usimtishe banaaa, mwenzio sahivi anajihisi kama anapaa. chezeiya penzi changa.

Kumbe ndio maana Nazjaz alisema kila msichana ana dream ya kuolewa na msukuma lol!!!!!

nimempata msukuma ananifanya natabasamu all day long

ananipikia ananikogesha ananifulia kwa bed ndo usiseme OMG
 
Last edited by a moderator:
hongera my dear it feels so sweet being in lv...wish u a happiest marriage!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom