In this life never saynever

In this life never saynever

wasukuma the hell kabisa siwasemi vibaya ila ninaishi nao wengi sana !!

Nivea, sio wote bwana, ni kama wachaga tunavyosemwa vibaya lakini sio wote wabaya, majaribu na vituko vya mawifi/mama wakwe yapo kila kona ni wewe kujisimamia/kujipambania tu.
 
sijakupata hapo, kwamba leo hii ninavyohangaika na msukuma then ije iweje? niambie baadhi ya wasukuma, hawa wa kwangu kuanzia sasa hivi wanajua cha mume wangu ni cha kwetu sote/cha familia.
kwa wasukuma nyamayao hiyo yakuhangaika na mumeo ni taarifa baada ya habari akilamba mchanga na wewe umelamba jocker jekundu na utasingiziw umemuua ili urith mali tena mchagga hahahahaahahhahahahahah?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom