IN Tanzania thamani ya kifo ni 8 MILLION

Heri kinga kuliko Tiba. wakisha lipa kifuta jasho machozi... jamaa waliolala watarudi!!!!???
 
Kuna Michango mingi sana iliitishwa, wewe binafsi ulichangia kiasi gani? na unataka Serikali ilipe kiasi gani? Tuache kulalamikia kila kitu kinachofanywa na serikali

mbona unakuwa mgumu kuelewa? Kwani Msando kakwambia ni jumla ya michango au wajibu wa serikali ulichukuliwa?nawaogopa sana watu wenye upeo mfupi kama huu.
 
Eti Waliokufa gongo la mboto watapewa milion 8. Walikufa 25. Mawaziri wapo 49 milion 12 wanapokea kila mwezi, milion 8 kama ni baba wa familia itawafanyia nini watoto wake? Tanzania nakupenda kwa moyo wote. Kidumu chama

mkuu kumbe nawe upo huku,nimekuona uko bize kumbe ulikuwa unaleta ujumbe uku. Sasa bosi,si unaona serikali ilivodhamiria kuwatoa roho raia wake? Yangu macho.
 
Back
Top Bottom