Anatafuta mwanaume asiyekuwa na mbegu za kiume waoane..Hii haituhusu ambao tumeishia la 3B
Ngoja wanakuja
Duuu asante mkuu ,nashukuru tu niliishia la 3B kama hayo ndiyo mahitaji yake nimeshafeli nina vitoto tisa labda nijaribu bahati usikute watoto wameisha kiunoniAnatafuta mwanaume asiyekuwa na mbegu za kiume waoane..
Kama huna mfate PM mapema sana, hiii ni bongo mkuu ..
Hahaaaa! Safi sana naona mkeo umemzalisha kama paka yaani! Watoto 9 ??Duuu asante mkuu ,nashukuru tu niliishia la 3B kama hayo ndiyo mahitaji yake nimeshafeli nina vitoto tisa labda nijaribu bahati usikute watoto wameisha kiunoni
I suggest, you will not get one!Anyone who is not ready to follow this condition then he is not seriously in need!
Wewe kama huna dondosha pm tuu...watu wanawahi mkuuHii nayo kali mwanaume ambaye hana mbegu za kiume au mimi ndo sijaelewa, ngoja nirudie nisije kuwa nimekurupuka!!!
Mkuu na wewe umeelewa hivyo au?Wewe kama huna dondosha pm tuu...watu wanawahi mkuu
Watu wako serious! Na naamini mleta mada yuko serious pia
Kiroho safi mjomba ,mbantu asilia ,hapa nilikuwa namchombeza anipe wa kumi naona ananiangalia kwa aibu tu huku katabasamuHahaaaa! Safi sana naona mkeo mmemzalisha kama paka yaani! Watoto 9 ??
Ndo maana yake yaani! Labda ikute sio kizungu hicho...Mkuu na wewe umeelewa hivyo au?
[emoji41][emoji41] eeeh kumbe ndo haya! Nahisi nimekosea kupita humuStupid Lesbian
Masharti yamebadika mkuu siku hiziNdo maana yake yaani! Labda ikute sio kizungu hicho...
Kama katabasamu hapo keshakupa wakumi sasa..Kiroho safi mjomba ,mbantu asilia ,hapa nilikuwa namchombeza anipe wa kumi naona ananiangalia kwa aibu tu huku katabasamu
Ngoja wam-pm mashoga tuu !Usalama wa taifa kazini jichanganye
It's a matter of planning not to have to or what?Anyone who is not ready to follow this condition then he is not seriously in need!