In loving Memory of my Mama

In loving Memory of my Mama

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,211
Reaction score
99,963
Iikuwa asubuhi ya Tarehe 13/04/2017. Nilikuwa kwenye meeting hivyo simu yangu ilikuwa off, saa nne asubuhi tukawa tumemaliza meeting nikawasha simu!

Simu ya kwanza kuipokea ilisema "Kama Umeshapata taarifa niambie wapi tunakutana kwa ajili ya kujiandaa kwa safari" nikauliza, "Unamaanisha Mama amekufa?" Nilishikwa ganzi ya mwili, kwa mara ya pili maishani mwangu nikiwa mtu Mzima, nililia Sana!

Sitakaa nisahau siku Ile! Ingawa alikuwa mgonjwa kwa two weeks Lakini haikuwa rahisi Sana kwangu kukubali!

Ndugu zangu, Leo hii Sina Baba wala Mama! Kama wewe unaesoma uzi huu unao Wazazi wako, basi Wapende Sana! Hakikisha tofauti Kati yenu haipunguzi Upendo!

Leo ni Tarehe ngumu saäana!

Goodbye's (The Saddest Word)

Celine Dion

Mamma
You gave life to me
Turned a baby into a lady

And mamma
All you had to offer
Was the promise of a lifetime of love

Now I know
There is no other
Love like a mother's love for her child

And I know
A love so complete
Someday must leave
Must say goodbye

Goodbye's the saddest word I'll ever hear
Goodbye's the last time I will hold you near
Someday you'll say that word and I will cry
It'll break my heart to hear you say goodbye

Mamma
You gave love to me
Turned a young one into a woman (Man)

And mamma
All I ever needed
Was a guarantee of you loving me

'Cause I know
There is no other
Love like a mother's love for her child

And it hurts so
That something so strong
Someday will be gone, must say goodbye

Goodbye's the saddest word I'll ever hear
Goodbye's the last time I will hold you near
Someday you'll say that word and I will cry
It'll break my heart to hear you say goodbye

But the love you give will always live
You'll always be there every time I fall
You are to me the greatest love of all
You take my weakness and you make me strong
And I will always love you 'till forever comes

And when you need me
I'll be there for you all the way
I'll be there your whole life through
I'll be there this I promise you, mamma

I'll your beacon through the darkest nights
I'll be the wings that guide your broken flight
I'll be your shelter through the raging storm
And I will love you 'till forever comes

Goodbye's the saddest word I'll ever hear
Goodbye's the last time I will hold you near
Someday you'll say that word and I will cry
It'll break my heart to hear you say goodbye

'Till we meet again
Until then
Goodbye

You are strong than what you think...
 
Wakati naandika uzi huu, nikajikuta napata picha tangu nikiwa mdogo, nikawa mkubwa Kidogo, nikamaliza masomo, nikapata kazi, nikaoa, nikapata Watoto (siku zote kulikua na mtu nyuma yangu aliyeitwa Mama). Haikua nguvu au akili zangu mwenyewe!
FB_IMG_1522922209754.jpeg


You are strong than what you think...
 
Jamanii😢pole saana,.wote njia yetu ni moja,.mshukuru Mungu kwa kila jambo kwani tunaamini "kufa ni faida na kuishi ni Kristo" Mungu azidi kumrehemu,.Amin!!!

Kila siku namuombea Heri mama yangu,Nampenda Upeo yeye ndio sababu ya hivi nilivyo leo,nampenda mnooo,.maneno yananikosa kwa ajili yake..Hakika nampenda Mungu wangu wa Duniani(mom).
 
Nikijaribu kuvivaa viatu vyako naona kama havinitoshi daaah!! Pole saana mkuu
 
Si bora wewe umepata msiba utu uzimani,je mimi natoka shule nipo std 4 narudi home tu nakuta watu shazi home,vilio vya kufa mtu,napokewa kwa mayowe na mama zangu wakubwa,ila daah,ndio basi tena,Mungu alimpenda zaidi,R.I.P my beloved mom,ilikuwa ni 1993
 
Ukishapata msiba wa mzazi/wazazi au hata ndugu wa kuzaliwa pamoja...

Kuna likitu fulani linaingia moyoni kiasi kwamba ukisikia msiba kwa watu wengine, unaona kama kitu cha kawaida sana...

Pole mkuu...!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Nilidhani hii hali ipo kwangu tu.
Mama alifariki ghafla 23/11/2007 nikiwa nimehitimu chuo.
Nilipigiwa simu saa 3 asubuhi nikiwa Kimara. Nikashuka kwenye daladala. Nilianza safari na kufika home asb siku ya pili mkoani (jina kapuni). Sikutoa chozi hadi nafika mortuary.

Toka kipindi hicho, nikisikia fulani kaondoka duniani sishtuki kabisa.
 
Ukishapata msiba wa mzazi/wazazi au hata ndugu wa kuzaliwa pamoja...

Kuna likitu fulani linaingia moyoni kiasi kwamba ukisikia msiba kwa watu wengine, unaona kama kitu cha kawaida sana...

Pole mkuu...!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
Nafkiri na- expirience hii hali mkuu
Kupoteza wazazi wote na ndugu wengine wa karibu ni janga
Nimekuwa strong kwenye misiba ya watu wengine

Sema unakuwa mpweke mara nyingi hasa unapokuwa unapitia hali flani kimaisha afu huna mtu wa kushea nae
Wakati mwingine hatujiskii kwenda nyumbani tena.....

Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi ni chache nazo zimejaa taabu na mateso.........


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom