In loving Memory of my Mama

In loving Memory of my Mama

Si bora wewe umepata msiba utu uzimani,je mimi natoka shule nipo std 4 narudi home tu nakuta watu shazi home,vilio vya kufa mtu,napokewa kwa mayowe na mama zangu wakubwa,ila daah,ndio basi tena,Mungu alimpenda zaidi,R.I.P my beloved mom,ilikuwa ni 1993
Pole sana

Love and peace
 
Yeah nimeshapata hio hali! Dah
Ukishapata msiba wa mzazi/wazazi au hata ndugu wa kuzaliwa pamoja...

Kuna likitu fulani linaingia moyoni kiasi kwamba ukisikia msiba kwa watu wengine, unaona kama kitu cha kawaida sana...

Pole mkuu...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

You are strong than what you think...
 
Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.

Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".

Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.

Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka hii stori yako japo kwa ufupi ila imenitoa chozi kwakweli.Pole sna mkuu kwa maswahibu uliyopitia wakati unakua

Love and peace
 
Duh Umeniumiza Sana Ndugu! Pole Sana ndugu
Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.

Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".

Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.

Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU

Sent using Jamii Forums mobile app

You are strong than what you think...
 
Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.

Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".

Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.

Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu,comment yako imenisikitisha mno nimejikuta nampigia simu mom nakumwambia "Nampenda sana".
 
Endelea kufanya hivyo before it's too late! Mimi Pasaka Kama hii angekua ameshapiga simu "Elli mwanangu nakusubiri Pasaka, uje na Wajukuu zangu"

You are strong than what you think...
Mkuu we acha tu 😥😥Upendo alikuwa nao Mama yangu kwangu naomba isitokee siku ya kututenganisha.
 
Nipo home peke yangu then nina magumu yananikabili naishia kusiliza gospel music huku chozi linanitoka coz sina mfariji(mpweke).I wish MAMA Angekuwepo lakini ndio she is no more with me.
Kama MOM Angekuwepo najua spirit yangu ingekua high kwa ushauri wake na tungeumia pamoja na tungelia pamoja lakini ndio hayupo hayupo hayupo tena.Namshukuru MUNGU Kunipa katoto kangu ka miaka mitatu nikimuangalia na nikifikiria future yake huwa napata nguvu.
REST IN PEACE MOM AND I'LL MOURN TILL I MEET U AGAIN.
 
Heri yenu wenye memories za kuogeshwa na mama zenu, mnaokumbuka mlivyotaniana na mama zenu wakati wa utoto wenu.

Binafsi nilitengwa na mama yangu nikiwa na miaka miwili. Sikumwona tena hadi nilipofika kidato cha tano na baadae kidato cha Sita. Nilijengewa mazingira ambayo kumuona ilikuwa ni kufanya wizi wa kiwango cha grade "A".

Baada ya hapo, sikumwona tena, mpaka nilipopata taarifa kwamba alifiriki miezi miwili iliyopita nikiwa najiandaa kwenda kwenye mahafali ya first degree.

Hongereni sana mliopata nafasi kuita mama,,,naye akaitika, mliokesea kisha mama akawafinya kidogo kuwakanya kwa upendo, mliosema mama njaa, akawaletea uji au mlio na kumbukumbu za matukio mbalimbali mkiwa na mama zenu. HERI YENU

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana Jodeo nitakutafuta

Jr
 
Nipo home peke yangu then nina magumu yananikabili naishia kusiliza gospel music huku chozi linanitoka coz sina mfariji(mpweke).I wish MAMA Angekuwepo lakini ndio she is no more with me.
Kama MOM Angekuwepo najua spirit yangu ingekua high kwa ushauri wake na tungeumia pamoja na tungelia pamoja lakini ndio hayupo hayupo hayupo tena.Namshukuru MUNGU Kunipa katoto kangu ka miaka mitatu nikimuangalia na nikifikiria future yake huwa napata nguvu.
REST IN PEACE MOM AND I'LL MOURN TILL I MEET U AGAIN.
polee,watoto wamekuwa ni faraja sana kwa wazazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom