In love with busketball and i want to play it

DEGESWASWA

Member
Apr 12, 2019
86
93
Salaam

Nina miaka 22 now na sijawahi jifunza mchezo wa aina yoyote ule katika makuzi yangu hadi muda huu

Dhumuni kuu la kuleta uzi huu kwenu ni kutaka kujua vitu vingi na vichache pia toka kwenu wabobezi na wataalamu wa mchezo huu wa kikapu Kama sheria, kanuni na taratibu pia zenye kutumika ktk mchezo huu kama tunavyo jua nw days mambo yalivyo rahisi kwenye kujifunza vitu mbalimbali kupitia mtandao, Sasa kwa yeyote aliyewiwa kunijenga kwa kutoa sehemu yake ya maarifa kuhusu hiki basi anakaribishwa kushare na mimi chochote

Urefu wangu 5.7'

FUNGUKA HAPA
 
Mtu yeyote mwenye mind-body coordination nzuri anaweza cheza mchezo wowote ule ambao unamfurahisha. 22yrs hujawahi kuwa na interest na mchezo wowote nawasiwasi na coordination ulionayo.
 
Nenda tuition ya urefu kwanza..bado hujakidhi
Acha kumkatisha tamaa, mbona inawezekana....
Nakumbuka mashindano ya shimivuta kwa wanachuo, chuo cha CBE walikuja na point Gurd wao mfupi lakini anajua mno,
Akishika mpira unaona kabisa hata movement zake
 
Hujachelewa mkuu, kama upo Dar kuna sehemu nyingi sana unaweza kwenda kujifunza.

Kwa Dar unaweza kwenda shule ya zanaki pale kuna ground ambayo mwalimu Jacob hua anafundisha vijana wengi, hana hiyana hana uchoyo

Kwa kigamboni kuna chuo cha mwalimu nyerere wana ground nzuri na vijana wengi hucheza mida ya jioni

Ukishindwa huko kote basi nenda pale taifa ndani kuna uwanja utakutana na timu kama Savio, Pazi, Don Bosco n.k,
Ukishindwa ndani basi hata nje kuna uwanja jirani na jeshi

Pia kuna ground pale Don Bosco upanga napo ni pazuri,
 
Salaam

Nina miaka 22 now na sijawahi jifunza mchezo wa aina yoyote ule katika makuzi yangu hadi muda huu

Dhumuni kuu la kuleta uzi huu kwenu ni kutaka kujua vitu vingi na vichache pia toka kwenu wabobezi na wataalamu wa mchezo huu wa kikapu Kama sheria, kanuni na taratibu pia zenye kutumika ktk mchezo huu kama tunavyo jua nw days mambo yalivyo rahisi kwenye kujifunza vitu mbalimbali kupitia mtandao, Sasa kwa yeyote aliyewiwa kunijenga kwa kutoa sehemu yake ya maarifa kuhusu hiki basi anakaribishwa kushare na mimi chochote

Urefu wangu 5.7'

FUNGUKA HAPA
Umri wako bado hauna shida, ukipata mwalimu mzuri na kuwa na juhudi ya mazoezi yako binafsi, kibongo bongo utacheza na utatoa upinzani wakutosha. Nilianza kufundishwa nikiwa na miaka 27 nilikomaa na uo mchezo na ilifikia siwezi kutopangwa kwenye mechi kama nikiwa sina tatizo. Ila nilifanya mazoezi mengi ili mwiliwangu unyumbuke na uwe na nguvu zakutosha. Nilikua Sinywi pombe, sivuti sigara, nalala saa mbili na nusu usiku naamka saa 11asubui kuanza mazoez.
 
Thanks for courage

Naomba kujua kanuni za mchezo huu may be Kama Kuna application yoyote naweza download ili inisaidie coz nime google several times pasi na mafanikio
 
Wewe ni mvivu na huwezi fika mbali,unakuja kupenda basketball ukiwa na miaka ishirini + ,hujui kanuni zake unaulizia JF ambayo hamna hata video za basketball si heri uangalie mechi na ligi mbalimbali YouTube

Ww ndio mvivu so far umekuja kuchangia uzi ambao huna ulichokiadd kwa mtu anayetaka kupata simplification ya kitu kwasababu muda si rafiki kwaka au umeongeza reply tu ili uonekane umechangia na ww???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom