Utaozea jela ujue.
Ya kweli haya wangu..!?? hebu nambie
Dada inamaana nyumba umemwachia nani?
kaka me nimemuachia yule baba naniliu yule jiran yetu
heshima yako dadaa'gu kipenzi sijakutenga nipo dar nimekuja kuoga maji ya chumvi nitoe mkosi kidogo Dr.zero atahusika kama Madame B atanitapeli mpe hi shemegi Paw:help:Kakangu mtumwa nimekumiss. Siku hizi unanitenga, usisahau hatupewi nafasi ya kuchagua familia. Nakupenda automatikale. Angalia kina Madame B wasikutapeli.
shemegi hujambo?Naona unarandaranda na hangover za jana huku ukitest hasira za watu
shemegi hujambo?
mmh mbona hujaniaga?
aisee mbona utata huu!!
hajambo hivi mpaka leo hujaoa mbona umri umeenda?