kufakunesa
Member
- Jul 29, 2011
- 13
- 1
Imagine katika msimu huu wa JK, anajitokeza mtu kama NDULI IDD AMIN na kuanza kuishambulia, Tanzania isiyokua na balance ya mafuta, umeme, reli, ndege na meli zimezeeka.
Je wana JF tutafanya nini?
Je wana JF tutafanya nini?