In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

In a dilemma: mke wangu ananishauri nimuoe rafiki yake

Dini hairuhusu ila mila zinaruhusu...nipo tayari kuongeza wa pili...nikichepuka bahati mbaya tu mkuu!!!
kwahyo uko tayar kuvunja miiko ya imani yako ya dini? pili unataka kuoa kwa sababu unampenda au kwasababu ya huruma ya mkeo?
swala la mkeo kuzungumzia tatzo la rafik yake je ameshawah kuongea na wewe kuhusu hlo kbla ya hapo?
 
Aiseeee kuna watu wana moyo mzuri yani nishare mume na rafiki?khaaa!!!!thubutu?
 
kaz ipo.....................................
 
kama tatzo ni kumuondolea aibu rafiki yake,mwambie una rafiki yako ambae anatafuta mke kwahyo utaenda mwambia huyo rafiki ili amuoe,
na kwakua mila zinaruhusu kwa wewe kuongeza mke mwingne kama alivyosema bas mwambie utatafuta mke wa pili..alafu msikilizie atasemaje
 
kwahyo uko tayar kuvunja miiko ya imani yako ya dini? pili unataka kuoa kwa sababu unampenda au kwasababu ya huruma ya mkeo?
swala la mkeo kuzungumzia tatzo la rafik yake je ameshawah kuongea na wewe kuhusu hlo kbla ya hapo?

Mkuu suala la huyo rafiki kukosa mume tumejadili sana na wife wangu ila naona yeye kaja na solution kabisa!!!
 
Mkuu suala la huyo rafiki kusosa mume tumejadili sana na wife wangu ila naona yeye kaja na solution!!!
ok ili ukae on safe side as long as na wewe uko tayar mwambie mkeo alifanyie kaz yeye mwenywe kwa maana ya kwamba mkeo ndio akaongee na huyo desparte besst frend aka official mchepuko kuhsu hlo swala

we kaa pemben uone mchezo unavyokwenda
 
Aiseeee kuna watu wana moyo mzuri yani nishare mume na rafiki?khaaa!!!!thubutu?

Huyu kashagundua tabia ya mmewe....kwahiyo hapo anamfikishia ujumbe tu kuwa najua ufanyalo.....tena kwa rafiki yangu wa damu....
 
Mkeo sio mjinga. Hiyo ni njia tu ya kukufikishia message kuwa anajua kinachoendelea. Sasa nyie endeleeni tu kuchepuka
 
Mzee Bob Mkandara na Mzee Mwanakijiji,

This is exactly what we need, malumbano! Great contributions guys na keep it up, yaani wote na wengineo, in the process wenye akili watapata msimamo wa kinachoongelewa au authority!

And God bless you guys!

Umeona eeeh si rahisi mtu akubali kushare mume na rafiki yake
 
yaani ni kwamba mkeo kashajua ukweli anakutega tu hapo. sasa we tumia akili kama mwanaume hakuna mwanamke duniani anae weza kushare mume tena na rafiki yk yaan bora mtu wa mbali lkn bado inauma. sasa cha kufanya ili ujiokoe we kuwa mkali tena mwambie amekuzarau sana kukwambia hicho kitu .na usikubali kamwe kama huyo ni mchepuko wako . na ukome kuchepuka na watu wa karibu na mkeo huoni haya watu wanachepuka mbali we unavuta vya karibu.
 
Haha! ngoja nicheki muendelezo, lazima ukamatike na ulishapanick kudadeki!!
Uje utupe updates ulivokamatika tucheke!
 
Back
Top Bottom