Impunity | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Impunity

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Feb 23, 2012.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Our Humanity assaulted
  And our Dignity mauled
  The young among us scolded
  In the hands of our rulers we die!
  Our pain unfelt, our passion silenced
  As we run away they shoot at us
  Like those colonial days, they charge at us
  With impunity of corruption our own people betray us
  So in their hands we continue to die!


  As we run from them they chase us
  Unarmed and unprovoked they aim at us
  From our backs they shoot!
  We fall down like sacks unloaded
  And to that land we return, forcibly
  Blood splashed, guts opened
  We don't even cry!
  So in their hands we continue to die!

  Who will stand for us?
  Who will question our killers?
  Who will point a finger at them with audacity of truth?
  Shall the blood of Tanzanians continue to be spilled with impunity?
  Shall those sworn to protect liberty be allowed to violate it?
  Our voices silenced but are yours too?
  Yes we might be forgotten and forsaken
  But what happened here shall forever remain an indictment
  An Indictment of a corrupt political ruling elite!

  Dedicated to those who have wrongly and untimely died in the hands of our security forces in the past six years.

  By. M. M. Mwanakijiji - bgm
  The Voice of the Village
   
 2. Mzito Kabwela

  Mzito Kabwela JF-Expert Member

  #2
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 17,520
  Likes Received: 1,690
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji weka bandiko lako kwa kiswahili
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  nimeliandika kwa Kiingereza
   
 4. vipik2

  vipik2 JF-Expert Member

  #4
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,175
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145

  Ili mabwana zao waelewe kinachoendelea...
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  tribute to songea fallen citizens shot dead from behind by the killer cops..R.I.P
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  I believe that a new administration should dismantle this political police force and build a complete new force. It ha failed us in so many ways! Limegeuka na kuwa aibu la wale wote ambao waliwahi kulitumikia jeshi hili kwa weledi na utii mkubwa kwa nchi na Watanzania.
   
 7. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #7
  Feb 23, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  mzee mwanakijiji!!!!

  pole sana ndugu yangu, naona umeandika kwa uchungu sana poem yako hii, kweli ukiisoma inasikitisha sana.

  lazima tukubaliane na ukweli kwamba hali ya sasa ni mbaya sana, hakuna haki kabisa kati ya raia na vyombo vya usalama (hapa utakubaliana nami kuwa hata CHADEMA walipokuwa wanaomba kibali cha maandamano na kukataliwa ilikuwa haina maana yeyote)

  jeshi letu la polisi now limegeuka limekuwa likiendeshwa watu wanavyotaka, tena nadhubutu kusema limekaa kichama chama (ndo mana viongozi wakuu wa jeshi hilo wakistaafu tu wanakimbilia kugombea ubunge )

  sitaki kuamini kuwa kwa hali iliyopo sasa inawalazimu polisi kutumia RISASI ZA MOTO kitawanya waandamaji ambao wamesimama wakiwa na mabango bila hata silaha yoyote. Hiii inaonyesha POLISI WETU wameshindwa kujiamini nikimaanisha hawana uwezo wa kupambana na wananchi (UOGA UMEWAJAA SANA) mpaka imefika wakati wanajihami kwa kutumia silaha kali za moto kwa watanzania wasio na hatia.

  Mbaya zaidi, viongozi wetu kuanzia ngazi za chini wamejaa uoga kiasi kwamba wanaogopa kutoa maamuzi kwa polisi hao, ETI UTAKUTA WANASUBIRI MPAKA HUYO MWENYEKITI WA CHAMA (JK) AONGEE NDO HAPO UTAKUTA KILA MTU ANAJIFANYA YUKO BIIIIIZE KUFUATILIA MAUAJI HAYO. (hapa namaanisha waziri na wizara husika, na viongozi wa jeshi lenu hilo la polisi).

  POLENI SANA WAFIWA, TUPO NANYI KWA HILI, NA NATUMAI DAMU ZA NDUGU ZENU WALIOFARIKI ZINAMAANA KUBWA KATIKA UKOMBOZI WA TAIFA HILI LILILOJAA DHURUMA, UFISADI, WIZI, UNYANYASAJI NA HATA UBINAFSIWA VIONGOZI WETU

  mungu ibariki Tanzania, mungu tubariki watanzania wapenda amani
  ameeeni..

  by GANGO2
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Nani atakuwa mtetezi wa hawa ?
   
 9. satellite

  satellite JF-Expert Member

  #9
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Arusha,mbeya,songea,migodini na kwingineko may their soul rest in peace
   
 10. P

  Pokola JF-Expert Member

  #10
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 717
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Hili shairi nimelisoma kwa hisia kama lile la Claude McCay: "If We Must Die"!!

  Asante Mwanakijiji.
  :eyebrows:
   
 11. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #11
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Kisha nikaisikia sauti ya Bwana, akisema, Nimtume nani, naye ni nani atakayekwenda kwa ajili yetu? Ndipo niliposema, Mimi hapa, nitume mimi. Naye akaniambia, Nenda, ukawaambie watu hawa, Endeleeni kusikia, lakini msifahamu; endeleeni kutazama, lakini msione. (Isaiah 6:9)
   
 12. only83

  only83 JF-Expert Member

  #12
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Unajua wakati mwingine ukikaa na kutafakari sana,hali inavyoendelea hapa nchini unaweza ukatamani kufanya jambo moja la ajabu sana..Thanx MM kwa maneno yako yakutia hasira na kutia moyo pia.I hope one day,haya maneno yako yatakuwa kumbukumbu kwa vizazi vijavyo.
   
 13. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #13
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  The touching poem, this is the SONG OF MZEE MWANAKIJIJI,

  The Tanzanian political policemen have also pried our tranquility and pride to leave us in plight. Let's unite to uproot these evils as we all know they don't posses enough and very sophisticated weapons to kill us all
   
 14. m

  mang'ang'a JF-Expert Member

  #14
  Feb 23, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 664
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 60
  Ubinadamu wetu kudhalilishwa
  Na Utu wetu mauled
  Vijana kati yetu scolded
  Katika mikono ya watawala wetu sisi kufa!
  Maumivu yetu unfelt, shauku yetu kimya
  Kama sisi kukimbia risasi saa yetu
  Kama siku hizo kikoloni, malipo ya saa yetu
  Na hali ya kutokujali ya rushwa watu wetu wenyewe kumsaliti sisi
  Hivyo katika mikono yao sisi wanaendelea kufa!


  Kama sisi kukimbia kutoka kwao wao baada ya sisi
  Wasiokuwa na silaha na yasiyokuwa ya kawaida wao lengo la us
  Kutoka migongo yetu risasi!
  Sisi kuanguka chini kama magunia unloaded
  Na nchi kwamba sisi kurudi, walihamishwa kwa nguvu
  Damu iliyomwagika, guts kufunguliwa
  Sisi hawakuwa hata kulia!
  Hivyo katika mikono yao sisi wanaendelea kufa!

  Ambao watasimama kwa sisi?
  Nani kuhoji wauaji zetu?
  Nani kunyooshea kidole watu hao kwa ujasiri wa kweli?
  Damu ya Watanzania kuendelea kuwa na kilichomwagika na hali ya kutokujali?
  Je wale ameapa kulinda uhuru kuruhusiwa kukiuka hivyo?
  Sauti zetu kimya lakini ni wako pia?
  Ndiyo sisi tupate kuwa wamesahau na kukitupa
  Lakini ni nini kilichotokea hapa ndipo milele kubaki mashitaka
  Mashitaka ya wasomi wa rushwa ya kisiasa tawala!

  Kujitolea na wale ambao kimakosa na yaangukavyo walikufa katika mikono ya majeshi yetu ya usalama katika miaka sita iliyopita.

  HII NI KWA AUJIBU WA GOOGLE TRANSLATE tafuta mwenyewe yakiyomis
   
 15. 1800

  1800 JF-Expert Member

  #15
  Feb 23, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 2,217
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  So sad indeed!
   
 16. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #16
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Ni sisi wenyewe, sisi wenye uchungu wa Kupoteza ndugu zetu, sisi wenye uchungu wa majeraha ya virungu na risasi. Sisi tunaolipa mishahara ya wauwaji, sisi tuliowaajiri sisi tunaowapa vyeo.

  Ni sisi wenyewe tunaouwawa na watu wanaotakiwa kutulinda. Kama wao hawawezi kutulinda, Kama wao hawatusikii, Kama wao hawataki sisi tuwalizimishe ( kwa maandamano) kusikia, njia pekee iliyobaki ni sisi kuwaondoa.
   
 17. W

  WildCard JF-Expert Member

  #17
  Feb 23, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Halafu ungetarajia kwa muundo wa serikali yetu na vyombo vyake ulivyo, vurugu kama zile za Songea zingezuiwa mapema zisitokee na watu kuuwawa:
  -Kuna serikali ya Mtaa/Kijiji.
  -Kuna serikali ya Kata.
  -Kuna Katibu Tarafa.
  -Kuna DC na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama.
  -Kuna RC na Kamati yake ya Ulinzi na Usalama.
  Vyombo vya DOLA kama Polisi vina muundo unaofanana na huo na wilaya zingine kama hapa Dar zina maOCD kibao. Watu wanaanza kuuana wenyewe kwa wenyewe. Hakuna anayejali hata taarifa zinapotolewa mara kadhaa. Ni rahisi kudhibiti maandamano hata kwa kumwaga damu kuliko kudhibiti uhalifu. Mwisho wa siku hakuna anayewajibika kwa lolote. Najua Polisi wamefundishwa kuua WATU. Kiholela namna hii kweli?
   
 18. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #18
  Feb 23, 2012
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Halafu utachoka zaidi pale watakapoamua kuongelela hayo mauaji!!!

  Hawa watu bana, hata sijui nini kitatokea...

  RIP all in Songea. Arusha, Zanzibar, North Mara, you too, RIP.
   
 19. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #19
  Feb 23, 2012
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 4,003
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Halafu msululu wa viongozi hao ni kuhakikisha usalama na ustawi wa raia huyo huyo wanaye muua.
   
 20. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #20
  Feb 23, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
Loading...