Important: How to inspire manners to your children

Useful thread, kuna kitu nimegundua huwa nakosea sana. Huwa nawasisitiza kugonga wakitaka kuingia kwangu, lakini huwa sifanyi hivyo kwao.
Kingine mie huwa nakifanya sana, kukasifia kabinti kangu ka standard 4. (Kumwambia ye ni mzuri and all that) sijui huwa nakosea, hebu tusaidiane hapa wazazi.
Me kwangu naona ni sawa tu, ila isiwe too much hadi mtoto akahisi that beauty ndo kitu kinacho-matter zaidi kwenye maisha yake + asije akajenga kiburi juu ya uzuri wake lol.

Unajua kumwambia mtoto you are beautiful, umependeza, unampa confidence ya kusimama kwa wenzake. Imagine mtoto ambaye wenzie wanamcheka labda ana vimiguu vibaya, au kitu chochote ambacho wenzie wanamchekea, do you think mtoto atajisikiaje? Kuna mtu alisema wakati wapo wadogo wenzie walikuwa wanamsema kuwa ni mweusi, but wazee wake ndo wakawa wanamtia moyo, kuwa she is ok, she is beautiful, ndo ikampa nguvu.

Kuna watu hawajiaminigi kabisa mbele za watu, nahata apendezaje ukimsifia anaona kama unamsanifu, there is no way atajiamini. Hajawahi kusifiwa tangu yupo mdogo, lazima aone ni kitu cha ajabu Leo kusifiwa uzeeni. So IMO it's ok kumwambia mtoto wewe ni mzuri, wewe ni wa thamani na unapendeza.
 
Thanks maa.
 
Unamwambia tu "basi mwanangu nisamehe" au unapiga tu "sorry baby" teh. Honestly ni ngumu, ila inabidi tu tujifunze kwa kweli. Kuna siku baba alimmu-accuse kitu baby brother afu kulikuwa na mgeni. Sasa siku mgeni ameshaondoka, ndo mzee akafind kuwa alimsingizia kitu, jamani mtoto Ni alilia upya. Aliniumiza alivyosema "sasa mgeni ameondoka na picha gani juu yangu, nikienda kwake atanichukuliaje? I was hurt na mzee had to apologise tu, ndo nikaelewa vizuri how watoto wapo sensitive. Me nikiwakoseaga nawaombaga tu msamaha, japo ni vitoto kwangu lol. Na wenyewe wamekuwa wepesi mno kuomba msamaha once wakikukosea. Ukiwanunia siku hiyo watahamia room kwako mbona hadi uwasamehe lol

zamani nilpasua sahani au bakuli ya mama aliyokuwa amenunua wakati yupo shule baada ya kulipwa kwa kazi ya kufuma vitambaa vya uzi kwa mkuu wake wa shule, aisee nilfinywa kwenye paja na makofi juu, baadaye mama aliniambia NISAMEHE MWANANGU ni hasira na ugumu wa maisha. alijenga moyo wa kumpenda zaidi na nkilamba stick naelewa kweli nimemkasirisha..
 
Umeona eeh, me sioni shida kuwaomba msamaha watoto kwa kweli as long as nimewakosea. Pole kwa kifinyo haha
 
Pale ambapo asiye na mtoto anageuka kuwa mshauri kwa wenye watoto kuhusu namna gani wazazi wanapaswa kuishi na watoto wao! [emoji125] [emoji125]
 
Pale ambapo asiye na mtoto anageuka kuwa mshauri kwa wenye watoto kuhusu namna gani wazazi wanapaswa kuishi na watoto wao!
Inawezekana sijazaa bado, but nina watoto ninaowalea na kulea ni zaidi ya kuzaa. Afu na mimi si nimelelewa na wazazi na ndugu, na ninaona wengine wanavyowalea watoto wao pia, so chochote kizuri nachokiona naki-adapt tu. Hata asiye na mtoto anaweza akashauri kitu kuhusu mtoto, kizuri kichukue, kibaya muachie. Inshallah na me ntakuwa mzazi siku moja
 
1. When entering the house greet your children with salaams and kisses. This should help develop their sense of love and mercy.

2. Be good to your neighbors and never backbite. Never speak ill of other drivers when on the road. Your children listen, absorb and emulate.

3. When calling your parents, encourage your children to speak to them. When visiting your parents take your children with you. The more they see you take care of your parents the more they will learn to take care of you.

4. When driving them say to school, don't always play albums or cds. Rather, tell them the stories yourself. This will have a greater impact - trust me!

5. Read to them a short stories/hadith a day – it doesn't take much time, but very impactful in creating strong bonds and wonderful memories.

6. Comb your hair, clean your teeth and wear presentable cloths even if sitting at home and not going out for the day. They need to learn that being clean and tidy has nothing to do with going out!

7. Try not to blame or comment on every word or action they say or do. Learn to overlook and let go sometimes. This certainly builds their self-confidence.

8. Ask your children's permission before entering their rooms. Don't just knock and enter, but then wait for a verbal permission. They will learn to do the same when wanting to enter your room.

9. Apologize to your children if you made a mistake. Apologizing teaches them to be humble and polite.

10. Don't be sarcastic or make fun of their views or feelings, even if you "didn't mean it" and was "only joking". It really hurts.

11. Show respect to your children's privacy. Its important for their sense of value and self-esteem.

12. Don't expect that they will listen or understand the first time. Don't take it personally. But be patient and consistent.

I hope and believe this helps for the now and future parents.
Blessings
[HASHTAG]#Tized[/HASHTAG]

The Author is unknown to me, But wherever s/he is; we very much acknowledge and appreciate your wisdom.
More than inspired words
 
Ngoja tumuulize Nyani Ngabu anatumia style gani kumuomba bintie msahamaha

Jambo la msingi kabisa ambalo tushaelezana na huwa tunakumbushana mara kwa mara ni kuwa hakuna mtu aliyemkamilifu. Na kwa sababu hiyo kukosea ni sehemu ya maisha na kutakuwepo tu hata iweje.

Lililo la muhimu zaidi ni kuweza kutambua, kukubali makosa, kuweza kuomba radhi, na kujifunza ili kutokurudia tena kosa/makosa.

Kwa hiyo daddy naye huwa anaomba radhi pale anapokosea kwa sababu binti anatambua kuwa nami ni binadamu. Na kwa vile Kiingereza ndo lugha kuu ndani ya himaya yetu maneno kama 'sorry sweetheart, my fault', 'oops..it's daddy's fault', 'my bad...that's on me'...na kadhalika ndo hutumika zaidi.

Pia ni kawaida kwa samahani za daddy kufuatiwa na kumbatio pamoja na busu shavuni. Ila kuna nyakati samahani za daddy lazima ziambatane na ziara za kwenda mall na kutia hasara kwenye akaunti😀.

Huwa sipendi kuwa mjeuri na mbishi inapokuja kwenye suala la mahusiano na binti. Sitaki kuwa mungu mtu nisiyekosea au hata nikikosea nikatae kukubali makosa yangu.

Kama mzazi mwajibikaji ni muhimu kuwa mfano bora kwa mtoto.
 
Cc; Eli79, Honey Faith
 
Simplicity & Humility.
Asante kwa kutushirikisha uzoefu wako mkuu, Tuna kitu cha kujifunza hapa.

Back
Top Bottom