Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Dont judge book by its coverJina lako tuu tlinaonesha uzungu wako
Sijui nimepatia??
Dont judge book by its coverJina lako tuu tlinaonesha uzungu wako
Kuna dhana iliyojengeka(pengine inachangiwa na malezi yetu tangu enzi na enzi) kwamba,mtoto umlee kwa misingi fulani......Point nyingi ulizoelezea ''inaaminika'' ni kumdekeza na kemlea ''kimayai'' ''mayai''..Mkuu Tyta nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa.
Bahati mbaya wengi wetu tumechukulia kuwa ''responsible'' ni kuihudumia familia tu yaani wakae mahali pazuri, wale na kuvaa vizuri na wasome shule nzuri baasi. Malezi tumewaachia wahudumu wetu.
Pengine sisi kama wazazi tumekua ni mfano mbaya kwetu wenyewe, kwa jamii na watoto wetu. Labda kwa kujua au kutokujua au kwa kujiona tunajua kila kitu na kutokutaka kwetu kujifunza au kuweka juhudi za makusudi kuendelea kujifunza maarifa kila wakati.
Sasa huoni hilo kiss la baba kwa mwanae linamjenga? Nawe umesema tulipotezeeNimekuelewa,ila kwenye kukiss hii naona tuipotezee haina maana kiafrika,......ingawaje kuna mtaalam mmoja alisema kuwa mwanao hasa wakike unapomkiss huwa anajenga mazoea ya kuzoea hyo ktu hata anapokisiwa na kdume huko mtaan huwa hashtuk,kuliko yule ambae alikuwa hajazoea kukisiwa na baba ake huchanganyikiwa kabsa anapokisiwa na jamaa mtaani na inakuwa rahis kuliwa
Dont judge book by its cover
Sijui nimepatia??
Mi naona tulipotezee,watot wa sku hz wanakuwa wazuri mno akiwa mkubwa unaweza shawishka kutaka kumjua,pia sku hz kuna mijanaume ina wivu knoma huyo,akiolewa jamaa likkuona unamkiss binti yako linaweza kukasirika likahis vingneSasa huoni hilo kiss la baba kwa mwanae linamjenga? Nawe umesema tulipotezee
Uko radhi binti yako apate kiss la kumzuzua kwa vijana huko nje na sio kwako?Mi naona tulipotezee,watot wa sku hz wanakuwa wazuri mno akiwa mkubwa unaweza shawishka kutaka kumjua,pia sku hz kuna mijanaume ina wivu knoma huyo,akiolewa jamaa likkuona unamkiss binti yako linaweza kukasirika likahis vingne
Potelea mbali,ila siwez na staweza kumpga kiss binti yanguUko radhi binti yako apate kiss la kumzuzua kwa vijana huko nje na sio kwako?
Unatumia lugha gani kumuomba mtoto msamaha? "Samahani mwanangu", "nisamehe mwanangu"? Teh dah, ngumu kumeza hiyo!Hiyo namba 9 sasa, ingawa watu wengi tunachukulia kumuomba mtoto msamaha ni kama uzungu zaidi au kujidhalilisha, but honestly kuomba msamaha hakuna umri. Watoto wapo very sensitive, na wana hisia kama tulizo nazo sisi wakubwa. Wanajua kuumia na hawapendi pia mtu amtendee kosa afu amuignore. Ni watu wazima, tunajua how it feels mtu akikukosea afu aonyeshe hajali, na watoto wana-feel hivyo hivyo
Above all, mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Mfundishe mtoto thamani ya msamaha, atajua kuwaomba msamaha na wengine once akikosea. Yani kuna muda tunalaumu kuna watu ni manunda, hata akikosea haombi msamaha, but kumbe hana msingi mzuri wa kitu msamaha
Kingine watoto wafundishwe ku-appreciate vitu wanavyofanyiwa, kusema "Ahsante". Hata kama tunafanya vitu vingi as part of majukumu/wajibu wetu na kuna muda wazazi wanaenda extra miles kuhakikisha kila kitu kuhusu watoto kiko sawa, but still watoto ni muhimu wajifunze kushukuru. Mzazi umetoka kazini mtoto kakupokea pochi or bag basi mshukuru, kakuvua soksi, mara akufulie leso, mshukuru kwa vyote. Kuna watu jamani hata umfanyiaje, yeye anaona tu ni wajibu wako. Utahangaika hata usiku kufanya chochote but yeye akhaaa, anaona kawaida tu. Yani hajuagi neno Ahsante hata iweje. Na hakuna kitu kibaya jamani kama mtu asiyejua ku-appreciate, utakata hadi tamaa ya kumfanyia mema
Wajengee watoto kujiamini, msifie " my baby is so cute", my baby can do this. Hata kama mtoto ni mzito kufanya kitu fulani, endelea kumtia moyo. Leo hawezi, kesho akijitahidi kwa 2,%, mwambie tu, do you see it baby, leo umepiga hatua nyingine mbele.
La msingi zaidi, wafundishe na wakumbushe wanao kumtanguliza na kumtegemea Mungu kwa kila jambo. Nenda nao kanisani/msikitini, msome neno kwa pamoja, ombeni pamoja, waombee.
Unamwambia tu "basi mwanangu nisamehe" au unapiga tu "sorry baby" teh. Honestly ni ngumu, ila inabidi tu tujifunze kwa kweli. Kuna siku baba alimmu-accuse kitu baby brother afu kulikuwa na mgeni. Sasa siku mgeni ameshaondoka, ndo mzee akafind kuwa alimsingizia kitu, jamani mtoto Ni alilia upya. Aliniumiza alivyosema "sasa mgeni ameondoka na picha gani juu yangu, nikienda kwake atanichukuliaje? I was hurt na mzee had to apologise tu, ndo nikaelewa vizuri how watoto wapo sensitive. Me nikiwakoseaga nawaombaga tu msamaha, japo ni vitoto kwangu lol. Na wenyewe wamekuwa wepesi mno kuomba msamaha once wakikukosea. Ukiwanunia siku hiyo watahamia room kwako mbona hadi uwasamehe lolUnatumia lugha gani kumuomba mtoto msamaha? "Samahani mwanangu", "nisamehe mwanangu"? Teh dah, ngumu kumeza hiyo!
Teh, bado hujanishawishi. Nitatumia njia nyingine na atajua kuwa "baba ameumia kwa alichofanya", kusema "nisamehe mwanangu" bado sana...Unamwambia tu "basi mwanangu nisamehe" au unapiga tu "sorry baby" teh. Honestly ni ngumu, ila inabidi tu tujifunze kwa kweli. Kuna siku baba alimmu-accuse kitu baby brother afu kulikuwa na mgeni. Sasa siku mgeni ameshaondoka, ndo mzee akafind kuwa alimsingizia kitu, jamani mtoto Ni alilia upya. Aliniumiza alivyosema "sasa mgeni ameondoka na picha gani juu yangu, nikienda kwake atanichukuliaje? I was hurt na mzee had to apologise tu, ndo nikaelewa vizuri how watoto wapo sensitive. Me nikiwakoseaga nawaombaga tu msamaha, japo ni vitoto kwangu lol. Na wenyewe wamekuwa wepesi mno kuomba msamaha once wakikukosea. Ukiwanunia siku hiyo watahamia room kwako mbona hadi uwasamehe lol
I think it's okay, as long as ameelewa kuwa msamaha wako. Me naomba/ntaomba tu lolTeh, bado hujanishawishi. Nitatumia njia nyingine na atajua kuwa "baba ameumia kwa alichofanya", kusema "nisamehe mwanangu" bado sana...
Ngoja tumuulize Nyani Ngabu anatumia style gani kumuomba bintie msahamahaUnatumia lugha gani kumuomba mtoto msamaha? "Samahani mwanangu", "nisamehe mwanangu"? Teh dah, ngumu kumeza hiyo!
Kwani wewe sio binti yako?si utuambie baba yake huwa anasemajeNgoja tumuulize Nyani Ngabu anatumia style gani kumuomba bintie msahamaha
Umenikumbusha dingi mmoja alikuwa anamkomalia binti yake alale nae, eti hawezi kumruhusu mwanaume mwingine afaidike kabla yake kisa uzuri wa binti.Mi naona tulipotezee,watot wa sku hz wanakuwa wazuri mno akiwa mkubwa unaweza shawishka kutaka kumjua,pia sku hz kuna mijanaume ina wivu knoma huyo,akiolewa jamaa likkuona unamkiss binti yako linaweza kukasirika likahis vingne