Mzee wa Gizani
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 4,992
- 6,277
Wakristo hujisemeaga "you're full of shit "
Ni mmoja wa viongozi wa njaa kari fc.posho imekatwa kutoka buku 7 mpaka buku 3 waligoma wakaambiwa asiyetaka aache ndio maana unamuona sio km zamani kiherehere kimemuishaKwan huyu nae ni mmoja wa memba wa buku 3?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila hao jamaaa vichwa vyao nahisi vinakuaga na michangaNi mmoja wa viongozi wa njaa kari fc.posho imekatwa kutoka buku 7 mpaka buku 3 waligoma wakaambiwa asiyetaka aache ndio maana unamuona sio km zamani kiherehere kimemuisha
Mpaka unawaonea huruma kaka ila wanaojielewa wameshakimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila hao jamaaa vichwa vyao nahisi vinakuaga na michanga
Wanasali. Wenyewe hulia na kusali sana wakiwa wameshikilia ukuta huo. Ndio kisa cha kuitwa "wailing wall". Wayahudi, waisilamu na wakristo wengi waendao hija Israel huugusa hivyo. Asilimia kubwa huamini katika uwezekano mkubwa wa maombi kusikilizwa ukutani hapo. Kuna wafarisayo husali full time kama kazi yao maeneo hayo na hulipwa na serikali!Ndio nini hiyo mkuu, hzo picha wanafanyaje?
Hahaha hii club ya walafi wa rambi rambi tabu tupu aiseeAkili nyingine bwana..
Umeandika nini sasa??
Unapoanzisha thread lazima uwe umetulia..
Sio mtu unaanzisha thread huku una mawazo ya rambirambi..!!
Ovyo kabisa.
Mangeleni kwetu....tafadhal pls wakati mwingine ukichangia hoja uliza members wako kwenye mudy gan.....wengine tunakula chakula cha punje saa hii utatuua ....Akili nyingine bwana..
Umeandika nini sasa??
Unapoanzisha thread lazima uwe umetulia..
Sio mtu unaanzisha thread huku una mawazo ya rambirambi..!!
Ovyo kabisa.
Nimekusoma MkuuMangeleni kwetu....tafadhal pls wakati mwingine ukichangia hoja uliza members wako kwenye mudy gan.....wengine tunakula chakula cha punje saa hii utatuua ....