Immigration na Zimamoto kunani?

Immigration na Zimamoto kunani?

inaonekana watakaoitwa uhamiaji kutakuwa na upinzani mkali sana, ivyo basi naomba ile sera ya kuwa kuna undugulization iendelee ili wale waoga wa kuwa eti kuna watoto wa vigogo waogope hata kuja kwenye usaili. mimi sina hata ndugu ila moyo unanihakikishia nitaruka vikwazo vyote

Yaani kaka naungana nawe kwa Moyo wangu wote, nina Imani sana kuwa tutafika!!!
Nasubiria na hizo za Sergeant wa Zimamoto nazo zitoke tuone, but shauku yangu nifanye Interview Immigration ili hata Kama nikipangiwa depo na taarifa zikaja kuwa nimepata Immigration nachomoka kule faster....
Teh Teh Teh Teh!!!!!
 
jiandaeni, dont underestimate your enemy. hii ni vita ya kimwili na kiroho. ukiwa dhaifu kiroho watu wanakutishia eti idara fulani ina wenyewe unakufa fasta wenzako wabishi tunasonga mbele
 
Wale wa Zimamoto na Uokoaji, Ijumaa hii itapita kweli?
Immigration nanyi mmekuwa kimya sana bana, Kama mbwai mbwai tu.....
 
Back
Top Bottom