Immigration na Zimamoto kunani?

Immigration na Zimamoto kunani?

had wasme bjet yao ndug
hapo budget haihusiki,coz paka watangaze nafasi,na idadi ya watu wanaohitajika,ina maana washajua watatekeleza vp! INSHU YA MSINGI NI KUWA WAVUMILIVU,MBONA WAKAGUZI WA ZIMAMOTO WALIKAA MWEZI NA WIKI KARIBIA 2,NDO MAJINA YAKATOKA?
 
Sio budget hapa kila mtu anajua mambo mazuri hayahitaji haraka
 
Ukitegemea sana hizo nafasi za uhamiaji utaugua kichwa, na zikitoka ndo utakuwa kichaa kabisa.
Tafakari
 
izo ajira watakuwa washagawana wenyewe kama zitatangazwa itakuwa niushaidi na kuondoa lawama bora kuangaika sehemu nyingine ushauri tu lakin
 
Dah, ni ushauri mzuri lakini bado naumiza kichwa kwani hata wakaguzi wa Zimamoto watu Kama 40 hivi walioitwa kazini hata Interview hawakuitwa, sasa cjui tunaishi ulimwengu upi cc wa madaraja ya chini na vipato vidogo?
 
Usikate tamaa one day yes.
 
izo ajira watakuwa washagawana wenyewe kama zitatangazwa itakuwa niushaidi na kuondoa lawama bora kuangaika sehemu nyingine ushauri tu lakin

kumbe ndo ivyo ngoja majina yatoke tuone. sasa sijui yanatoka lini
 
hapo budget haihusiki,coz paka watangaze nafasi,na idadi ya watu wanaohitajika,ina maana washajua watatekeleza vp! INSHU YA MSINGI NI KUWA WAVUMILIVU,MBONA WAKAGUZI WA ZIMAMOTO WALIKAA MWEZI NA WIKI KARIBIA 2,NDO MAJINA YAKATOKA?

Ni kweli usemavyo,walikuwa wanasubiri ongezeko la bajeti ili wajue wataajiri wafanya kazi kias gani na ongezeko la posho,ila sikulazimish kukubali.
 
Ni kweli usemavyo,walikuwa wanasubiri ongezeko la bajeti ili wajue wataajiri wafanya kazi kias gani na ongezeko la posho,ila sikulazimish kukubali.

kwani ugomvi hatubishi sema wambie watu tunajianda huku kama tuna necta vile, ole wao waweke ndugu zao
 
Nmesubiria nssf weeee holaaa, ewura wakanipiga chini,nhif wakanitupa na kule, pccb looool hata written ckuitwa! Hzi ni zile kubwa kubwa acha hzi ndogo ndogo nazo kila cku natoka kapa! Mwaka wa tatu kasoro miez miwili sasa...leo eti nijipe mapresha kusubiria uhamiaji loool moyo wangu hautodunda hata! Waniite wasiniite potelea mbali bhana! Palipo na heri kwangu Mungu atanifungulia tena kiurahiiiiiisiiii naamini hivyo...na ctochoka kuwaomba hzo kaz zao...ntaomba kila cku...kwa hyo ndugu zanguni tucjipe mapresha kabisaaaa km ni bahat yako utapata tu...
 
inaonekana watakaoitwa uhamiaji kutakuwa na upinzani mkali sana, ivyo basi naomba ile sera ya kuwa kuna undugulization iendelee ili wale waoga wa kuwa eti kuna watoto wa vigogo waogope hata kuja kwenye usaili. mimi sina hata ndugu ila moyo unanihakikishia nitaruka vikwazo vyote
 
Back
Top Bottom