Immigrate to Canada

Immigrate to Canada

Joined
Mar 23, 2014
Posts
9
Reaction score
5
Dear Jamii Forum Members,
May I take this opportunity to introduce to you Migration Solutions Canada (MSCI)

MSCI is an accredited and Canadian Government authorized and licensed Immigration Consultancy agency ,which assist people of diverse nationalities and backgrounds to discover and access the hidden opportunities available in Canada.

Kuna watu wengi wengi mno kutoka Tanzania ambao hawaelewi kabisa kuhusu nafasi na bahati zilizopo nchini Canada nafasi ambazo zinaweza kubadilisha maisha yao milele badala ya kuachwa nyuma na watu wa mataifa mengine duniani! Jaribu kuwekeza katika mradi maisha yako na familia yako sasa!

Now MSCI is pleased to introduce our services in Tanzania managed by our highly experienced Senior Swahili speaking partner and consultant based in Canada.There are many opportunities to Study,Work,Live,Invest or start a business in Canada.We do help candidates to eventually remain in Canada to again permanent residence or Canadian citizenship with their family or business partners where preferred.

MSCI offers among other services the following :

  • Canadian Experience Class
  • Family Class Sponsorship
  • Labour Market Opinions (LMO)
  • Skilled Workers
  • Arranged employment Option (AEO)/Job Offers
  • Work Permits
  • Business Immigration (Investor-Entrepreneur-Self Employment)
  • Provincial Nominee Programs (PNP)
  • Study Permits and Visitor Visas
  • Live-in Caregiver (Nanny) Applications
  • Immigration Appeals (Immigration Appeal Division)
  • Detention and Inadmissibility Cases (Immigration Division)
  • Refugee Cases
  • PR Cards and Citizenship matters
  • Education Counseling
  • Settlement Services

MSCI's services does not leave you alone with your Immigration to Canada, we extend our quality services to help you establish yourself every step of the way.

Tembeleeni our Website: Welcome To MSC Canada

Contact Info: msaleh@migrationscanada.com Tel +647 864 8009
Asanteni !
 
Hakuna visa ngumu kupata kama ya Canada. Kuna mzee wa kiarabu wa miaka 70 nilikuwa namsaidia kuhusu kujaza fomu. Ana watoto Canada, Marekani na Uingereza.

Yani kuna kujaza form zaidi ata ya 20 .mlolongo mrefu maana kule zinajazwa form na wewe uku unajaza form.

Hatua zake ni ndefu sana.

Kwa nchi za Asia niliona kuna kampuni zinaandikisha watu kwenda Canada lakin wanaotakiwa ni wale vichwa tu mfano mainjinia,madokta etc

Hivyo muwe makin mfano Uganda vijana wanatapeliwa pesa na baadh ya kampuni kudanganywa kutoa pesa za visa na ndege. Ukitoa imekula kwako.

Kuweni makini
 
Tukatsfute nini wakati Bongo fursa kibao?
 
nyie mmeamua kukomaa bongo...mnataka tuondoke mbaki peke yenu......hatuondoki na sisi...........mmepotea kama ndege ya malaysia
 
Back
Top Bottom