IMFIKIE MADAM WEMA NA WADADA WENGINE MFANO WAKE







[



Picha hapo juu ni siku mtoto Hope alipookotwa mtaani akituhumiwa kuwa ni mchawi - witch baby.











Hizi picha hapo afya yake mtoto Hope imeboreka na sasa yuko Kituo Cha watoto yatima huko Nigeria. Alitupwa kwa kudhaniwa kuwa ni mchawi!!


Itoshe hizi picha kuonesha kwamba huyo dada wa kidanish ni mke wa mnaijeria mmoja huko Naija.







 
Inaelimisha na kukumbusha watu kuwa anasa zote duniani ni ubatili na kujilisha upepo.
 
View attachment 408315
Wakati madada wetu wa Kibongo na Afrika wakishindana kununua Magari makali na Mavazi ya gharama wakumbuke na haya km huyu dada wa kizungu alivyofanya.
Nimeiloke habari yako lakini kicwa cha habari kina walakini. Wema hapo ameingiaje. nadhani wewe mwenyeweunahusika kama ni me na uliwahi acha mtoto mahali hii habari inakuhusu kulikom huyo Wema!
 
Nimeiloke habari yako lakini kicwa cha habari kina walakini. Wema hapo ameingiaje. nadhani wewe mwenyeweunahusika kama ni me na uliwahi acha mtoto mahali hii habari inakuhusu kulikom huyo Wema!
Madamee nimemtolea mfano kwa sababu ni mtu anayetaka sifa za kujulikana kiasi kwamba anatafuta matukio yasiyokuwa na maana so nimempa hii idea aitumie itamfikisha mbali kwa kuisaidia jamii ni kick ya kimaendeleo.
Pia ni mtu anayetamani kuwa na mtoto so km Mungu amemnyima uwezo huo anaweza akatafuta watoto wa mitaani angalaau 5 akawalea atakua ameisaidia jamii yake ya kitz
 
Hii picha haina uhalisia kabisa..! Yule mtoto pale Nigeria alishakuwa mtu mzima kiasi, huyu aliyebebwa anaonekana mdogo sana... mteke mteke kabisa..

Yule mweusi, huyo mweupe tena point 5!

Huu ni uongo wa mchana kweupe
Malnutrition ndio ilimfubaza mtoto,lishe bora imemfanya anawiri
 
Ni rahisi sana kukosoa wengine,huku sisi tukiamini hatuna wajibu was kufanya.
 
jamani kweli tujifunze kuwasaifia wasiojiweza. Hata biblia anasema dini iliyo safi ni kuwaona wagonjwa na kuwasaidia wenye shida ktk dhiki zao..
unakuta MTU nguo kavaa akizichoka anachoma wakati kuna wahitaji kibao wanahitaji nguo na zingewasaidia kufichs uchi wao.
vivyo hivyo kwa vitu vingine kama chakula, vitu vya ndani na pesa. think of others.
Yesu alisema "amhurumiaye masikini amhurumia Yesu"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…