Je tunawezaje kujikwamua na utumwa wa madeni iwapo nchi yetu haifuati utii wa sheria? Mijizi yote imejichimbia CCM na Lucas mwashambwa anaipamba kwa nyimbo na mapambio.Shirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.
Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
Dona wa nyooko.Hivi sisi Tanzania na Congo pamoja na madini yote tuliyonayo bado ni masikini hoehae?! Kuna kipindi tulikuwa dona kantri!!
Hakuna Nchi Imewahi endelea bila kukopa, kama unaijua itaje hapa.Je tunawezaje kujikwamua na utumwa wa madeni iwapo nchi yetu haifuati utii wa sheria? Mijizi yote imejichimbia CCM na Lucas mwashambwa anaipamba kwa nyimbo na mapambio.
Kila mwaka zinatoka hesabu za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali. Kuna wizi wa kutisha sana na hamna anaye fikishwa kortini. Kisa tu makada wanalindana na hawataki katiba mpya
Wewe ndiye wa kuandika hivi? Ukilaza huoIMF haijaanza Leo kutoa pesa za Msaada wa kibajeti,Toka zama za Nyerere Inatoa so acha stori za kufikirika.
Harafu punguza kukurupuka weka source ya habari .
Tunakopa ili tufanye nini? Je baada ya mkopo tunafanya nini?Hakuna Nchi Imewahi endelea bila kukopa,kama unaijua itaje hapa.
Baada ya kukopa ni kulipa na tunakopa Ili tu boost maendeleo na Tija ya uzalishajiTunakopa ili tufanye nini? Je baada ya mkopo tunafanya nini?
Halafu punguza shobo Mkuu.Wewe ndiye wa kuandika hivi? Ukilaza huo
Haya madudu yanayoibuliwa na ripoti za CAG kila mwaka huwa hamzionì?Baada ya kukopa ni kulipa na tunakopa Ili tu boost maendeleo na Tija ya uzalishaji
NormalShirika la fedha duniani(IMF) limeidhinisha msaada wa dola milioni 620 kusaidia bajeti za nchi za Tanzania, Rwanda na Congo ikiwa ni sehemu ya dola bilioni 1.9 watakazotoa kama msaada wa kibajeti kwa nchi sita.
Nchi nyingine ni Kenya, Somalia na Burundi.
Madudu na kukopa vinahusianaje?Haya madudu yanayoibuliwa na ripoti za CAG kila mwaka huwa hamzionì?
Je ni kweli nchi yetu haina upigaji uliokithiri? Naomba jibu lako then nitakuja na vielelezo
Naona chawa na papasi mnaparuanaChawa kama chawa asubuhi na mapema upo mzigoni uchawa kazi sana. Hivi hata muda wa kuridhishwa unapata kweli ?
Nina mda wa kukuridhisha wewe 🖕🖕Jitahidi kutenga hata muda wa kuridhishwa
Na baridi la kwenu lilivyo kali hatariNina mda wa kukuridhisha wewe 🖕🖕