Pesa zipo mkuu ila serikali haitumii pesa. Na hii ni policy mojawapo katika "Monetary policies" ambayo hutumika ili serikali uweze kudhibiti uchumu including inflation. Kama pesa nying zimo mikononi mwa watu serikali inaweza kutumia hii policy kuzikusanya halafu haitazitumia hizo pesa ili iweze kuzicontrol.Hii report sio mbaya. Ila inaonekana hatutumii pesa. IMF wanashindwa kugundua kuwa pesa hakuna. Ila na wao wamekiri austerity inatumaliza. Ni vyema tukope maana project nyingi zitalala.