pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 17,660
- 13,719
Jenister? anaweza kujibu swali la hali ya uchumi kweli? soma cv yake.Hawa IMF wanafiki Jana Waziri jenister muhagama kamjibu Mbowe swali hili na kumtolea mifano ya jinsi serikali hii ilivyo tajiri mpaka wamenunua ndege mbili cash money, sasa hawa wazungu wanaongea nini?, tafadhali sana tunaomba IMF wasitu drive drive