IMF Staff Holds Review Mission to Tanzania and gives its recommendation

Hii report sio mbaya. Ila inaonekana hatutumii pesa. IMF wanashindwa kugundua kuwa pesa hakuna. Ila na wao wamekiri austerity inatumaliza. Ni vyema tukope maana project nyingi zitalala.
Pesa zipo mkuu ila serikali haitumii pesa. Na hii ni policy mojawapo katika "Monetary policies" ambayo hutumika ili serikali uweze kudhibiti uchumu including inflation. Kama pesa nying zimo mikononi mwa watu serikali inaweza kutumia hii policy kuzikusanya halafu haitazitumia hizo pesa ili iweze kuzicontrol.
 
Inflation declined to 4.5 percent in September, below the target of 5 percent. The current account balance has improved significantly due to lower capital goods imports as externally-financed investment has slowed down and exports of gold and manufactured goods increased. The Bank of Tanzania’s foreign exchange reserves have strengthened in recent months.

umeisoma hiyo ukaielewa......ukiangalia hiyo report ndani kuna high positive things kwenye uchumi wa tz kuliko few weakeness tulizonazo.

Hata hizo few ni luga ya mvuto yaani chambo kwenye ndoano...
 
Hawa IFM hawajui kuwa tunafanya mambo kwa surprise? Tunaweza kuwa suprise kwa kulipa deni lote kwa siku moja kama tulivyo wa suprise kwa kutoa elinu bure mpaka form IV.
Ngoja Jenister awasikie.
 
Lakini vile inabidi tujue kwanin j hatumii pesa,kuna sababu tuwe wapole kwanza mwaka wenyewe mmoja tu.
 
VP na deni LA taifa wamesifia pia??
Nilivyoielewa hiyo statement hapo juu, IMF wamecaution kuhusu hii "Tight monetary policy" inayotumika sasa hivi. In the long run inaweza kuleta shida. Kuna mahitaji ambayo ni necessary yanaweza kukosekana. Wamecaution tu. Infact naona kama wamesifu vitu vingi vingi tu.
 
IMF wameona tupo kimya hutujaenda kukopa,wanaanza zengwe.kwani IMF ni polisi wa uchumi?
 
Hawa IMF wanafiki Jana Waziri jenister muhagama kamjibu Mbowe swali hili na kumtolea mifano ya jinsi serikali hii ilivyo tajiri mpaka wamenunua ndege mbili cash money, sasa hawa wazungu wanaongea nini?, tafadhali sana tunaomba IMF wasitu drive drive
Umeelewa walichokiongea au umekurupuka tu?
 
Hata hizo few ni luga ya mvuto yaani chambo kwenye ndoano...
ukisoma vizuri hiyo ripoti ndipo utajua kwanini mtaani watu wanalalamika maisha magumu,serikali isipospend akadeal tu katika kukusanya revenue lazima mzunguko wa pesa upungue ndo kitu kinachotokea kwa sasa,the only solution ni kwa serikali kuanza kuspend pesa wanazokusanya tu.
 
VP na deni LA taifa wamesifia pia??
Isome hiyo statement hapo juu. IMF wamesifu vitu vingi sana vinavyopo sasa hivi "Preliminary data for the first half of 2016 indicate that economic growth was strong and that the projected growth rate of around 7 percent for the year as a whole remains within reach.

Inflation declined to 4.5 percent in September, below the target of 5 percent. The current account balance has improved significantly due to lower capital goods imports as externally-financed investment has slowed down and exports of gold and manufactured goods increased. The Bank of Tanzania’s foreign exchange reserves have strengthened in recent months.

Implementation of the PSI-supported program has been satisfactory. Preliminary data indicate that most quantitative assessment criteria for end-June 2016 were met. The pace of implementing structural reforms has been slow, but has picked up recently.

Notable progress has been made in stepping up revenue collections and, based on data for the first quarter, the ambitious program target for the 2016/17 fiscal year is within reach". na hivi vyote ni positive kwetu. Ila kuna vitu wamecaution wamesema "However, there are downside risks to economic growth associated with the current tight stance of macroeconomic policies and the slow pace of implementation of public investment."
 
kuna watu humu hawajui nini kimeandikwa just because mtoa mada kaandika kichwa chake cha habari in negative way basi wanajua kuponda tuu,someni muelewe kilichoandikwa ndipo mtakapojua nini cha kuchangia...
 
hii report haiendani na headline title ya hapo juu. IMF inaonyesha kuwa tunaenda vizuri katika kuimpliment miradi yetu na pia ni vyema tukope ili miradi yetu iende kwa wakati .
 
Hata hivyo kichwa cha habari hakiakisi kilichoandikwa moja kwa moja. MENGI yameoneshwa kupiga hatua nzuri tu, wewe kwa sababu ya kutimiza lengo lako la kutaka kutuaminisha serikali haijafanya kitu umeamua kujikita kwenye kipengele kimoja tu.
 
hii report haiendani na headline title ya hapo juu. IMF inaonyesha kuwa tunaenda vizuri katika kuimpliment miradi yetu na pia ni vyema tukope ili miradi yetu iende kwa wakati .
kumbe na wewe umeliona hilo mkuu. tusimlaumu sana mleta mada na wote wanaomtetea nadhani wana tatizo la kuelewa lugha
 
Pesa zipo mkuu ila serikali haitumii pesa. Na hii ni policy mojawapo katika "Monetary policies" ambayo hutumika ili serikali uweze kudhibiti uchumu including inflation. Kama pesa nying zimo mikononi mwa watu serikali inaweza kutumia hii policy kuzikusanya halafu haitazitumia hizo pesa ili iweze kuzicontrol.
Hiyo policy inafahamika, hapa huenda ni structural reforms kuliko monetary control. Hii ina maana ni control of government expenditure through efficiency use of government resources rather than monetary control. The government performances on important sectors cast shadow on whether we have sufficient resources to cater our needs. Ukitazama ile budget ya trillion 29 uwezekano wa kupata pesa ile ni negligible.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom